2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

CIV pale nyuma wapo hovyo sana
Usiku huu wa manane kuamkia jumatatu kweli upo macho unaangalia mpira kombe la dunia na upo JF? Kama taifa tunapoelekea ni wapi?

Hii siyo sawa kabisa tendeeni haki miili yenu na akili zenu. Nchi yetu bado kabisa kupenda na kuendekeza anasa.

Kuweni Wazalendo.

Kusema kweli inasikitisha!
 
Umeandika kwa uchungu sana mdau.
Unafikiri kazi ya Usiku ni kulala tu?
Vipi wale wasiokuweepo Tz au wale waliopo kazini ? Au mtu ameweka ratiba yake poa tu?

Pole una wrong feelings...

Angalia sasa hivi Waafrika wenzio Tunisia wanaadhibiwa vikali na wa Swidi...
 
1000802702.jpg

Kumeanza kuchangamka sasa
 
Back
Top Bottom