Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,537
- 20,373
Hawa nao wanatuchosha.
Weka kingereza, achana na hao watangazaj wa league ya mchangani ya bongoMtangazaji anasema eti, kuna kuupiga, kuutandiaka na kuulabua(mpira) Neno kuulabua sio kiswahili. Ni neno la kichagga lenye maana ya kupiga.
Nilikuwa naweka hili sawa tu.
Huyu kutakuwa nanmnigeria tuu nyuma yakeMjapan mweusi anaitwa Suzuki Vitara 😁
Wale jamaa kwa kuzamia wapo vzurHuyu kutakuwa nanmnigeria tuu nyuma yake
Hawanaga show mbovu hawa jamaaWajapenganwakerudisha goli!
Nilisema wajapan sio wabayaWajapenganwakerudisha goli!
Mpira bwana, huyu huko westham anarukaruka tuu national team anawaka.Summerville kaongeza kwa Netherlands
Joto huko balaaWalau game imechangamka. Sema hizi hydration brakes ni ufala sana.
Jana nilikua namwangalia Mazroui nacheka tuu😃😃nasema huyu fala kwann man U hachezagi hiviMpira bwana, huyu huko westham anarukaruka tuu national team anawaka.
Mazroui nae man utd unachoka jana morocco kkawa kama prime roberto carlos
Zinakera sana na zinaua momentum kwa timu.Walau game imechangamka. Sema hizi hydration brakes ni ufala sana.
Raphinha hatamsahau aisee jana jamaa kawaka balaaaJana nilikua namwangalia Mazroui nacheka tuu😃😃nasema huyu fala kwann man U hachezagi hivi