Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,366
- 10,393
Goli ni goli tuGoli bovu la waarabu
View attachment 3607307
Goli bora la Vini all the way from Bernabeu
View attachment 3607315
Goli ni goli tuGoli bovu la waarabu
View attachment 3607307
Goli bora la Vini all the way from Bernabeu
View attachment 3607315
Wamtoe thiago wamuingize kunyaHuyu Boudadi ni Kobbie maino mtupu na hapo ni miaka 18
Thiago mtu mkuu wa kutoka ni PaquetaWamtoe thiago wamuingize kunya
Hivi Richarlison na Martinez waliitwa?Wamtoe thiago wamuingize kunya
Mchoyo kishenzi huyo dogo mpaka anaboaShida ya Vin ndiyo hiyo...
Kwamba anajichosha bure 😂😂Nadhani anataka afanye juu chini achukue Wrld cup ili awe n fursa ya kuchukua Ballon dor
Angejua kuwa hata Ronaldo naye anakazi nalo asinge jichosha.
Hii semi acrobatic ndio walitupiga wale madogo wa mali under17
Then mdomo mwingi sana..analazimisha kuonekana saaaaanaMchoyo kishenzi huyo dogo mpaka anaboa
[emoji3][emoji3][emoji3]Ni maghales tuu hakuna mwingine mkuu kuwa muwazi[emoji2][emoji2]
Hii Brazil Haina kitu mkuu , acha ishinde tu sababu imeshika hela zetu 😄 lakini haina chochote ni open structure!!!Hii ndio Brazil sasa
Mkuu jana Canada aliniuzi sana, alichana mkeka wangu,HT
1-1
Martinezi kaitwa , Richardson hajaitwaHivi Richarlison na Martinez waliitwa?