Qatar hawatoboi hapa ngoja tuone dakika zilizobqkiSawaa.
Dk 85
Uswisi 1 - 0 Qatar
Watajilaumu sana kudraw hii gameQatar wanasawazisha duuh
Tena dakika ya mwisho daahWatajilaumu sana kudraw hii game
Kama ulikua kichwan kwangu.Nimeangalia kikosi cha brazil kinachoanza hii game na morocco,
Kiukweli brazil kwa sasa hawana kizazi cha dhahabu, yani wana wachezaji wa kawaida sana
Hao wote wapo form mkuuNimeangalia kikosi cha brazil kinachoanza hii game na morocco,
Kiukweli brazil kwa sasa hawana kizazi cha dhahabu, yani wana wachezaji wa kawaida sana
Ni maghales tuu hakuna mwingine mkuu kuwa muwazi😃😃Kama ulikua kichwan kwangu.
Nakiangalia kikosi nasema hii ndio brazil inanifanya nisilale hadi muda huu!!
Hakuna kitu kaka hawa leo wakijitahidi sana ni drawHao wote wapo form mkuu
Anashinda leoHakuna kitu kaka hawa leo wakijitahidi sana ni draw
Wapemba nomaLeo makampuni ya kubeti yamevuna pesa za walalahoi
Walipewa kombe la email mkuuMtangazaji wa Azam anatudanganya kuwa Morocco ndio mabingwa wa AFCON 2026
Si uongo?