Mechanical
Member
- Oct 20, 2020
- 81
- 144
Hatari tupu
Juhudi binafsi, kwa timu Bado ipo chini sanaHii ndio Brazil sasa
Casamiro atakula umeme wamtoe mapema SanaBoss Casemiro wa 2015 huko sawa sio huyu, huyu kwa soka la kisasa la kasi umri haumruhusu.
Kweli kile ni kipaji pure kabisaHuyu hata Barcelona huwa wanamkaba wawili
Anaweza sema anasahau kama yeye ni RB. Anajikuta Winga🤣HAKIMI ameshindwa kumkaba Vinicious, huyu labda akabwe na watu wawili.
Yeap, Casemiro amechoka sana ni uzoefu tu unambeba na Morocco ni damu changa wana kasi mnoNimeshasema hana kiungo tuu
Waushukuru tu uwezo mkubwa wa VinJuhudi binafsi, kwa timu Bado ipo chini sana
Na akokisa goli ujue imegonga mwamba🤣Kweli kile ni kipaji pure kabisa
Brazil waliwa underestimate MoroccoJuhudi binafsi, kwa timu Bado ipo chini sana
Hayo ndo maajabu pekee waliyobaki nayo brasilNa akokisa goli ujue imegonga mwamba🤣
Wanapotezwa na mtoto wa miaka 19Yeap, Casemiro amechoka sana ni uzoefu tu unambeba na Morocco ni damu changa wana kasi mno
Watu wa kufanyiwa Sub ni Casemiro na Ibanez, Ibanez anapoteza tu mipiraCasemiro namkubali sana, lakini kwa hii njano inabidi anceloti amfanyie subb vinginevyo atakula red mda c mrefu na itaharibu utamu wa hii game.
Akili inataka, mwili hautaki🤣Wanapotezwa na mtoto wa miaka 19
Paqueta ndo anacost teamWatu wa kufanyiwa Sub ni Casemiro na Ibanez, Ibanez anapoteza tu mipira