Pole sana mkuuMkuu jana Canada aliniuzi sana, alichana mkeka wangu,
Ila leo kanji nimemkamataView attachment 3607321
Cunha anajua kuscore ila kwa mechi hii sidhani, yupo slow na ndio maana hapa Thiago anapata shida...hii game inahitaji kasi sana na maamuzi ya haraka sio kutafuniwa utengeweMartinezi kaitwa , Richardson hajaitwa
Mipira yeyote inayohusu Tanzania sifuatiliiHii acrobatic ndio walitupiga wale madogo wa mali under17
Hii semi acrobatic ndio walitupiga wale madogo wa mali under17
Kafanyiwe sub sasa utaona kanavyo mind hadi matusi ya kiswahili kanatoa.Then mdomo mwingi sana..analazimisha kuonekana saaaaana
Utakua arsenal wewe😅Cunha anajua kuscore ila kwa mechi hii sidhani, yupo slow na ndio maana hapa Thiago anapata shida...hii game inahitaji kasi sana na maamuzi ya haraka sio kutafuniwa utengewe
Richarlison kama isingekuwa Reactions zake na kukosa nidhamu game ingemfaa sana
Mnaipendea nini Betpawa ina option zenye kumlinda zaidi mwenye kampuni kuliko wewe?Mkuu jana Canada aliniuzi sana, alichana mkeka wangu,
Ila leo kanji nimemkamataView attachment 3607321
Ancelotti kawatoa hawaTayari Casemiro na Ibanez wana Yellow Cards
Wafanyiwe sub mapema
Yeah nimeona hilo mkuu, sijui ndo mazoea kila nikijatahidi kuhama lakini najikuta narudia tena betpawa.Mnaipendea nini Betpawa ina option zenye kumlinda zaidi mwenye kampuni kuliko wewe?
Pamoja mkuuPole sana mkuu
Hata Mimi, betpawa muonekano wake na wepesi wake wa kutumia na kudeposit ndio unatuchanganya wengiYeah nimeona hilo mkuu, sijui ndo mazoea kila nikijatahidi kuhama lakini najikuta narudia tena betpawa.
Na sasa hivi amekuwa mjanja mda mwingine ana lock sana live team ili usifanye Cashout.
Wala hata, nashabikia Real lakini naangalia hali halisi ya game Sheikh...kumbe wewe unataka aingie Cunha kisa ni wa Man united?Utakua arsenal wewe😅
Hapana , nimeona ana weza fanya kituWala hata, nashabikia Real lakini naangalia hali halisi ya game Sheikh...kumbe wewe unataka aingie Cunha kisa ni wa Man united?
Hii aingie Mtu kama Martinez uone cheche
Ngoja tuoneHapana , nimeona ana weza fanya kitu
Mechi lazima itoe mshindi hiiSio rahisi iishe hivi aisee..
Dk 53
1-1