Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,317
- 3,948
Tulichukulia morroco ni wa Africa kumbe Hawa ni wahispaniola😄Mlianzaje kumpa?
Tulichukulia morroco ni wa Africa kumbe Hawa ni wahispaniola😄Mlianzaje kumpa?
subir ViniiiiiiMbona kama game ngumu hii kwa Brazil?
Upo sahihi, anapata nafasi kubwa mno ya kuchezaVinicius, anachwa na beki za morroco aki dlibble mpira free, mpaka anafunga. Ndio maana nasema lolote baya limkute yoyote.
HAKIMI ameshindwa kumkaba Vinicious, huyu labda akabwe na watu wawili.Huyu Vin kweli ameshindikana japo aliachiwa nafasi kubwa sana ya kushoot
Lolote baya limkute yeyote...bonge la msemo..nimemtumia ex wang😀😀Vinicius, anachwa na beki za morroco aki dlibble mpira free, mpaka anafunga. Ndio maana nasema lolote baya limkute yoyote.
Ni sahihi, mmoja pekee hamtoshi na wakimuacha zaidi ataleta madhara makubwa zaidi ya hayaHAKIMI ameshindwa kumkaba Vinicious, huyu labda akabwe na watu wawili.
Nimeshasema hana kiungo tuuNimegundua Brazil ina Mamidfielders Wazee
Naona wanaoenda na kasi ya Morocco ni Vinicious na Raphina peke yao.
Kuna sare inanukia
Huyu hata Barcelona huwa wanamkaba wawiliNi sahihi, mmoja pekee hamtoshi na wakimuacha zaidi ataleta madhara makubwa zaidi ya haya