SanaGame kali hii
Thiago..Mzitoo🤣Ila hii Namba 9 ya Brazil, tia maji tia maji sana
Appearance yake Inachangia pia, ameipaka rangi vizuri ila ndani kuna unyonyaji fulani 😀Hata Mimi, betpawa muonekano wake na wepesi wake wa kutumia na kudeposit ndio unatuchanganya wengi
mpira haujapatikana🤪🤪🤪🤪🤪Kukosa UEFA halafu Gabriel si ndio alipiga penati mbinguni? 😂😂
mzinga sijui kapatwa na ninSenegal ndio mabingwa huyu amaa
NdioKukosa UEFA halafu Gabriel si ndio alipiga penati mbinguni? 😂😂
Tuone sasaNgoja tuone
Tatizo timu haina mchezaji mwenye ckaliba ya BrunoCunha amechukua nafasi.
Huyu jamaa lazima atafanya kitu kule mbele