Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,731
- 7,536
Wewe si uko Marekani? Sijawahi kufika Marekani ila najua kuwa Marekani ipo. Sijui kilipo na wala namba yake siijui, ila najua kuwa kipo. Mimi kutokujua namba ya kifungu cha sheria, hakukifanyi kifungu hicho kutokuwepo, kama kipo. Mimi kutokuwahi kuiona Marekani, hakuifanyi Marekani isiwepo,,,,, unanipata?Umeelewa swali lakini?
Umeombwa kifungu cha katiba kinacho back up maelezo yako.
Ni kifungu gani?