2025 na mbeleni

2025 na mbeleni

Huyu ameshanukuliwa akisema akiondoka yy hakuna wa kuendeleza miradi aliyoianzisha unadhan hii nchi ameanza kuijenga yy kuna viashiria vingi vya huyu kutaka kuongezewa muda
Umeelewa swali lakini?

Umeombwa kifungu cha katiba kinacho back up maelezo yako.

Ni kifungu gani?
 
.ila kauli za WAPUMBAVU wachache waliopo ndani na nje ya CCM kwa manufaa yao wanaosambaza uvumi huu.
Mzee nakusihi uende mahali kuna jiwe halafu ukausugue pale ulimi wako ili makali yake yapungue kiasi, usije ukaja siku moja kukukata mdomoni kwenye mashavu kipindi utakapokuwa unakula chakula
 
Alichomaanisha Rais ni kwamba Kijazi alistaafu, halafu serikali ikampa mkataba wa kuendelea na utumishi.

Hali hiyo huwa inatokea kwa watumishi wa serikali / civil servants ktk nafasi mbalimbali.

Kwa nafasi za KUCHAGULIWA huwa hakuna kuongezewa muda. utumishi wa hukoma baada ya uchaguzi mpya kuitishwa.
Kwa nafasi za kisiasa, inaruhusiwa pia. Katiba inaruhusu kitu hicho hicho ila kwa njia ya referendum
 
Nimekuelewa, ila unachosha akili. Tuna hesabu mihula kwa miaka au? Unapo amua kuongeza siku za utawala, kipi kina ongezeka tofauti na mihula?
Kinachotumika huwa ni lazima kuchoka. Kisichotumika ndiyo huwa hakichoki. Jipongeze kwa kitendo cha kuwa unachoka akili
 
Tafuta popote nilipounga mkono huo uhuni wa cdm.

Kauli uliyoitoa hapa ni ya kupinga. Kwa hiyo, Tutakupima kwa kauli zako za kupinga (sio kuunga mkono) huo uhuni wa CDM. Tupe posts zako za kupinga, kama ulifanya hivyo!
 
Nitakuja na comment NOVEMBER 2025.
Kwa sasa niseme muda ni mwalimu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kauli uliyoitoa hapa ni ya kupinga. Kwa hiyo, Tutakupima kwa kauli zako za kupinga (sio kuunga mkono) huo uhuni wa CDM. Tupe posts zako za kupinga, kama ulifanya hivyo!

Umejiunga 2016 na hujapitia post za kabla ya 2015, unataka nikusaidieje labda?
 
Je, kuna kiongozi yoyote au Mtanzania mwenzetu ambaye ameshawahi kutamka kwamba, kama inawezekana Magufuli aongozewe muda?
Wako watanzania wenzetu wametaka hivyo, kwa bahati nzuri wote wana mafaili yao mirembe.
 
Kwanini waliowengi hawamtaki Rais Aongezewe mda?
Kwa sababu kaharibu uchumi wa mtu mmoja mmoja, kwenye sekta binafsi.
Watoto hawana ajira, wanaambiwa wajiajiri, huku kina fulani wakiajiri watoto wao, kupeana vyeo, wakidhania wanabeza wapinzani na maviete, kumbe wanaoumia ni watanzania wote.

Zamani hata kibarua tu aliweza kujenga kibanda cha kuishi, sasa hivi hata consultant hawezi.

Everyday is Saturday................................😎
 
Hayo yote yanakuja kwa sababu CCM hii si ya wakuaminika tena - wametuvurugia kabisa utamaduni wetu tuliokuwa nao wa upendo na mshikamano bila kujali itikadi zetu na badala yake wamewekeza kwenye vita.

Ni CCM hii hii ya Bushiri iliyoharibu uchaguzi uliopita wa Serikali za mitaa na ule Mkuu huku yeye akiwa mtendaji mkuu wa chama - sasa tukiona hizi move za kimya kimya lazima tuhisi sasa wanakwenda kuvunja kanuni na kuweka yao - hawashindwi kitu hawa hata kama ni kwa kupindisha ni lazima kipite tu.

Tushaumwa na nyoka...tukiona unyasi lazima tunyenyue mguu mjomba.
 
Mzee nakusihi uende mahali kuna jiwe halafu ukausugue pale ulimi wako ili makali yake yapungue kiasi, usije ukaja siku moja kukukata mdomoni kwenye mashavu kipindi utakapokuwa unakula chakula
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu,anayefahamu maana ya uko wa urais atakayeshabikia eti Rais aongezwe muda baada ya muda wake kuisha.

Ndo maana nimewaita WAPUMBAVU.
 
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu,anayefahamu maana ya uko wa urais atakayeshabikia eti Rais aongezwe muda baada ya muda wake kuisha.

Ndo maana nimewaita WAPUMBAVU.
Wako wengi muno. Sidhani kama wote hao wanaweza kuwa hawana akili timamu.
 
Hayo yote yanakuja kwa sababu CCM hii si ya wakuaminika tena - wametuvurugia kabisa utamaduni wetu tuliokuwa nao wa upendo na mshikamano bila kujali itikadi zetu na badala yake wamewekeza kwenye vita.

Ni CCM hii hii ya Bushiri iliyoharibu uchaguzi uliopita wa Serikali za mitaa na ule Mkuu huku yeye akiwa mtendaji mkuu wa chama - sasa tukiona hizi move za kimya kimya lazima tuhisi sasa wanakwenda kuvunja kanuni na kuweka yao - hawashindwi kitu hawa hata kama ni kwa kupindisha ni lazima kipite tu.

Tushaumwa na nyoka...tukiona unyasi lazima tunyenyue mguu mjomba.

It makes no sense whatsoever! Kama umeweza kumuamini Mbowe, ambaye alichezea kanuni za chama ili aendelee kuwa kwenye kiti as long as he wants, unashindwaje kuwaamini watu ambao hawana record ya kubadilisha kanuni ili wabaki kwenye viti?
 
Back
Top Bottom