2025 na mbeleni

2025 na mbeleni

Huyo haaminiki, siyo wa kumuamini maana ameshaahidi vitu kibao only kuja kuvikana baadae, mara kadhaa amekana hata kiapo akichokula cha kuilinda na kuihifadhi katiba na kutawala kwa mujibu wa sheria kwa kufanya kinyume cha vitu hivyo, sasa huyo wa kumuamini kwa kauli yake? - Kwa Magufuli nakushauri uangalie trend ya matendo yake na si kauli zake, he is ureliable, you cant take him for his word!
Kwa hiyo unachosema ni kwamba ikifika 2025 atajiongezea muda wa kuwa Rais?
 
Kwa hiyo unachosema ni kwamba ikifika 2025 atajiongezea muda wa kuwa Rais?
All indications za moves zake za kisiasa zinaonyesha hivyo.

Jatumia nguvu kubwa sana kuiba uchaguzi Zanzibar na bara ili kujihakikishi theluthi mbili ya wabunge kutoka pande zote mbili, kaiba uchaguzi serikali za mitaa kwa sababu huku chini ndo kuna wananchi ili pindi kama ikitakiwa referendum inayoinvolve wananchi basi awe na access points nyingi. Kanunua wapinzani kibao ili kuwater down resistance, na ameenda as far as kuhonga ubunge kinguvu kwa wale wabunge 19 baada ya kuona kuwa bunge lote kuwa 99% la CCM linakosa legitimacy., Unadhani alifanya hsya for fun?
Huyo mtu hatoki!
Usisikilize maneno yake, he is a damn liar!
 
Vipi, utasononeka asipojiongezea muda?
 
Kwanini haya mambo msiwe mnajadili kwenye vikao vyenu vya chama kabla hamjawaruhusu kina Deo Sanga kuja na hoja za jiwe kuongezewa muda?
 
Kauli ya Bashiru Ali kuwa watashinda uchaguzi kwa kutumia Dola na hata wengine(wapinzani ) wakishika dola wataitumia kubaki madarakani kwa nguvu

Ni aibu na ajabu kauli hii kutolewa na kiongozi mkuu wa chama akidhihirisha kuinajisi demokrasia hadharani na matokeo yake tulipata uchafuzi wa mitaa na uchafuzi mkuu (sio uchaguzi).

Bashiru wa katiba mpya si huyu wa sasa ni walakini kuwaamini watu wa jinsi hii kamwe! Maslahi mbele !

Alisema hawatotumia wasanii wa bongofleva kwenye kampeni badala yake watatumia waimbaji wa nyimbo za asili matokeo yake ilikua kinyume.

Mwisho ni kusema hatohitaji teuzi zaidi nyingine ukatibu mkuu kwake ndio cheo kikubwa ila kashindwa kuyaishi maneno yake

Je, utamuaminije mtu wa hivi?
JF imekuwa kama sehemu ya mipasho tu.

Mtu anajitokeza na kubandika mada kadri ajihisivyo na bila hata kuijengea uzito na ushahidi.

Kwa haya uliyoandika hapa, aliyeleta mada jukwaani kama angekuwa na busara hata ndogo tu angejihisi kama umemvua nguo hadharani.

Hivi kuna jambo lipi lililobaki wanaloweza kulisemea hao watu (Magufuli, Bashiru, n.k.) mtu ukalipokea bila kulitilia mashaka?
 
Ccm haitambi, bali madaraka ya urais yanayotumika vibaya kuteka watu, kuua wapinzani, kunajisi uchaguzi na uhayawani mwingine kama huo ndio yamayotamba. Kinachofanyika katika kuibeba ccm na kuifanya ionekane imara ni kiburi cha madaraka ya urais ya mwenyekiti wake. Kuna wakati Iddi Amin, Moi, Mugabe nk waliamini vyama vyao ni imara, sio kwakuwa kweli vilikuwa imara, bali yalikuwa ni madaraka ya viongozi hao kutumia vyombo vya dola kutoa upendeleo kwa vyama vyao, ndio waliitafsiri wao na wapambe wao kuwa vyama vyao ni imara.

Kama kweli kuongea kwa kujinyeyekeza kwa ccm kunavipa nafasi vyama vya siasa, basi vyama vinavyojipendekeza kwa ccm kama TLP, UDP, NCCR, CUF nk vingekuwa na nafasi huko kwa wananchi. Mtu mjinga ya kama ww ndio anaweza kuamini ccm hii ni imara. Chama imara hakishindi uchaguzi kwa kutumia udhaifu wa katiba na shuruti, nakushauri urudi shule ukajifunze uimara wa chama ni nini.
You did
 
Siku utakayoweza kumuelewa Trump na wafuasi wake utaweza kumuelewa Lissu na wafuasi wake![emoji23]
 
Sasa unakataa nini, kwani huyo Magufuli hawezi kusema amebadili mawazo? Mtu mwenye nia ovu huwa anaacha viashiria, na watu kusema kuwa Magufuli atajiongezea muda wa kukaa madarakani, ni kwakuwa kuna viashiria vya zaidi ya 80
Hebu taja hivyo viashiria na sisi wengine tuvijue
 
Katiba ipo wazi. Mwisho ni mihula miwili.
Mtu akiongezewa muda, kipindi kile alichoongezewa hakihesabiki kuwa ni muhula wa pili, hapana. Kitahesabika kuwa ni kipindi cha nyongeza. Kinachoongezeka kwenye mihula miwili hakiitwi mhula wa tatu, bali kipindi cha nyongeza. Nyongeza Kikatiba inaruhusiwa, kisichoruhusiwa ni mihula zaidi ya miwili! Kikatiba, ni sahihi kabisa mtu kuongezewa vipindi vingine vinavyoweza kufikia hata juma ya miaka 7 au zaidi, lakini ni makosa makubwa mtu kuongeza muhula hata mmoja tu!
 
Naomba kifungu cha katiba tafadhali kuback up maelezo yako!
 
Naomba kifungu cha katiba tafadhali kuback up maelezo yako!
Hukumsikia Rais mwenyewe siku ile akisema kuwa hata marehemiu Kijazi (RIP) alikuwa ameshaastaafu ila akawa amemuongezea muda? Katiba inaruhusu hilo na wapo watumishi wengi tu wa ngazi za juu wanaoongezewa muda kila kukicha. Hatujawahi kuongeza muda kwa hawa walioko ngazi za juu sza mwisho na ndiyo maana tunadhani hairuhusiwi. Katiba hairuhusu kuongeza muhula kwa sababu inaruhusu mihula miwili tu, ila haikatazi kuongeza muda. Kuongeza muda na kuongeza muhula ni vitu viwili tofauti. Ukitaka kuongeza muhula, inabidi ubadilishe Katiba, ila muda wengi tu wanaongezewa kila kukicha, fanya uchunguzi
 
Magu atafia madarakani. Hata hiyo 2025 kwanza hataitisha uchaguzi kwa kisingizio cha hela za kufanyia uchaguzi ziko kwenye miradi. Bora miradi iishe kuliko kupoteza fedha kwenye uchaguzi.
Kikichobaki ni kumuomba Mungu tu kila mtu kwa dini yake ampende zaidi.

JK alitukosea sana mwaka 2015 kumleta huyu
 
Dua la kuku halimpati mwewe!
 
Hukumsikia Rais mwenyewe siku ile akisema kuwa hata marehemiu Kijazi (RIP) alikuwa ameshaastaafu ila akawa amemuongezea muda? Katiba inaruhusu hilo na wapo watumishi wengi tu wa ngazi za juu wanaoongezewa muda kila kukicha. Hatujawahi kuongeza muda kwa hawa walioko ngazi za juu sza mwisho na ndiyo maana tunadhani hairuhusiwi. Katiba hairuhusu kuongeza muhula kwa sababu inaruhusu mihula miwili tu, ila haikatazi kuongeza muda. Kuongeza muda na kuongeza muhula ni vitu viwili tofauti. Ukitaka kuongeza muhula, inabidi ubadilishe Katiba, ila muda wengi tu wanaongezewa kila kukicha, fanya uchunguzi
Umeelewa swali lakini?

Umeombwa kifungu cha katiba kinacho back up maelezo yako.

Ni kifungu gani?
 
Back
Top Bottom