Ni kwa sababu sio vizuri kubadilisha katiba bila sababu za msingi.Kwanini waliowengi hawamtaki Rais Aongezewe mda?
Ni kwa sababu sio vizuri kubadilisha katiba bila sababu za msingi.Kwanini waliowengi hawamtaki Rais Aongezewe mda?
Reaction ya Watanzania baada ya uchaguzi ilitosha tu kukujuza kuwa CCM ni chama cha namna gani. Watanzania hawakuwa na si wajinga kama unavyoamini wewe....
Hukuelewa kauli hiyo! Alimaanisha, baada ya kuwa katibu mkuu, hata taka uteuzi mwingine wa kuongezewa hapo (kwa kingereza - concurrently). Ukikumbuka, baada ya hapo watu wengi walinyanganywa vyeo vingine wakabaki na kimoja!
Siku ile alisema hatakubali nafasi yoyote ya uteuzi isipokuwa ya ukatibu tu?Kapewa nafasi ile ile ya ukatibu...
Na siyo CUF tu....hata CHADEMA.....
Miaka ya 2010 mwishoni hadi na 14....hakuna mwana CCM alikuwa anathubutu kuvaa sare ya chama mtaani.....yaani tulikuwa tunazomewa kila kona.
Mambo yamebadilika.......CCM sasa tunatamba. Na itaendelea kuwa ngumu kufanya siasa mpaka pale wapinzani watakapotambua kuwa CCM ndicho chama tawala Tanzani....ili wakati watakapokuwa wanakosoa wakosoe wakijuwa wanaongea na chama kikubwa na wawe na adabu.
Juma NkamiaJe, kuna kiongozi yoyote au Mtanzania mwenzetu ambaye ameshawahi kutamka kwamba, kama inawezekana Magufuli aongozewe muda?
Marekani waliweka term limit zaidi ya miaka 150 baada ya kujitawala. Nini hasa ulikuwa msukumo kuweka huo ukomo wa mihula miwili?Kubadili mawazo si sawa na kubadili katiba!
Get it nyumbu?
Hujui kitu au ukabila umekupofushaSijaelewa ni kwanini kuna watu wanauhusisha uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi na Rais Magufuli kuongeza muda kuiongoza Tanzania kwa zaidi ya mihula miwili...
Mimi bado naamini endapo ataendelea kuwa mzima, basi ataongoza kwa idadi ya mihula inayoruhusiwa na katiba tuliyonayo sasa.
Mkuu, maneno ya Bashiru sio katiba isipokuwa la Rais kuongezea/kuongezewa muda ni la kikatibaKuna clip ipo humu mitandaoni ikimuonyesha Bashiru akiapa kuwa hatukubali akipewa nafasi nyingine zaidi ya huo ukatibu mkuu. Kama Magufuli hana nia kujiongezea muda, ni kwanini amchague mtu aliyekiri mbele yake, na hadharani kuwa hayuko tayari kupatiwa nafasi nyingine tena?
Magufuli anajali katiba gani, kama angekuwa anaogopa katiba angeweza kupokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha? Ama hujui kuwa katiba imelitenga jeshi na siasa?Mkuu, maneno ya Bashiru sio katiba ispokuwa la Raisi kuongezea/kuongezewa muda ni la kikatiba
Kwa hiyo haina haja ya kuendelea kupiga kelele za yeye kuongeza muda wa utawala Kwa kuwa katiba si kigezo cha yeye kuamua atakalo siyo?Magufuli anajali katiba gani, kama angekuwa anaogopa katiba angeweza kupokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha? Ama hujui kuwa katiba imelitenga jeshi na siasa?
May be hujawaelewa wanaolihusisha hilo swala la uteuzi wa Bashiru na Jiwe kutaka kuongeza muda.Sijaelewa ni kwanini kuna watu wanauhusisha uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi na Rais Magufuli kuongeza muda kuiongoza Tanzania kwa zaidi ya mihula miwili.
Dkt. Bashiru amewahi kunukuliwa akisema kuwa anapendelea iwe hivyo? Yaani Rais Magufuli aongezewe muda wa kutawala?
Au ni kiwewe tu cha wasiompenda Magufuli? Maana kiwewe huwa kinavuruga akili ya mtu.
Kiwewe kinaweza kumfanya mtu aione 1 ni 3 na 3 ni 2!
Kiwewe kinaweza kumfanya mtu alione giza ni mwanga na mwanga ni giza, salamu ni tusi na tusi ni salamu.
Halafu ni kama vile kuna watu wanaombea Magufuli kweli aongezewe au aongeze muda ili wapate sababu za kumsema na kujipatia vijipointi vya kisiasa.
Na asipojiongezea, watu hao watakuwa disappointed sana maana atakuwa ‘kawaangusha’.
Mimi bado naamini endapo ataendelea kuwa mzima, basi ataongoza kwa idadi ya mihula inayoruhusiwa na katiba tuliyonayo sasa.
Otherwise, uhusiano wa Dkt. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi na uongezwaji wa muda Rais Magufuli kuendelea kuwa Rais ni nini?
Magufuli yeye hajanukuliwa akisema hataki mambo ya kumuongezea muda?May be hujawaelewa wanaolihusisha hilo swala la uteuzi wa Bashiru na Jiwe kutaka kuongeza muda.
The issue ni kuwa, Bashiru amenukuliwa mara kibao akikataa hilo suala kwamba rais hana nia hiyo na kwamba rais ataheshimu muda wa mihula miwili na Bashiru anaonekana hayuko enthusiastic na idea ya kuuongezea rais muda.
Sasa kwa rais ambaye akilini mwake ni kweli anataka kujiongezea muda ila anazuga tu kwa sasa kuendelea kuwa na katibu mkuu wa chama ambaye hataki kabisa idea hiyo atakuja kuwa kikwazo chamani huko mbeleni. Kwa hiyo unamfanyaje katibu mkuu wa aina hii?, Huyu unamuondoa kisailensa chamani unaweka mtu ambaye hatakuwa kikwazo ndani ya chama huko mbeleni pindi ukiamua kulianzisha hilo swala la kujiongezea muda!
Huyo haaminiki, siyo wa kumuamini maana ameshaahidi vitu kibao only kuja kuvikana baadae, mara kadhaa amekana hata kiapo akichokula cha kuilinda na kuihifadhi katiba na kutawala kwa mujibu wa sheria kwa kufanya kinyume cha vitu hivyo, sasa huyo wa kumuamini kwa kauli yake? - Kwa Magufuli nakushauri uangalie trend ya matendo yake na si kauli zake, he is ureliable, you cant take him for his word!Magufuli yeye hajanukuliwa akisema hataki mambo ya kumuongezea muda?