2025 na mbeleni

2025 na mbeleni

Huyu ameshanukuliwa akisema akiondoka yy hakuna wa kuendeleza miradi aliyoianzisha unadhan hii nchi ameanza kuijenga yy kuna viashiria vingi vya huyu kutaka kuongezewa muda
Haya leo kiko wapi? Ameondoka, miradi ya msingi imeisha? Ndio kwanza Bi Mdashi eti imekaribia uchaguzi ndio anafumua fumua barabara za jiji la Daslam!! Foleni kila kona na kero zisizo za mfano tu. Eti anajenga barabara! Wakati ilipaswa amalizie tu alichoanzisha Magu, ila kashindwa.
 
Back
Top Bottom