2019 Mercedes S Class

RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
919
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
919 1,000
Mwanafunzi anakariri tu vitabu halafu kwenye mtihani akipasi anajisifia na kutamba
Lakini maisha yakianza ndio anaanza ujanja ujanja tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Yes, inahuzunisha saana. Sometimes vijana wanaokwenda vyuo vya ufundi wanafanya kazi vizuri kuliko hata wasomi wa chuo kikuu.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,639
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,639 2,000
Yes, inahuzunisha saana. Sometimes vijana wanaokwenda vyuo vya ufundi wanafanya kazi vizuri kuliko hata wasomi wa chuo kikuu.
Ni kweli kabisa tena akiwezeshwa na akapata vitendea kazi vya uhakika na UAMINIFU anaweza kutengeneza hela kuliko msomi mkubwa wa kuriri
Hebu fikiria kijana mechanics au electrician akawa na kila kitu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
7,582
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
7,582 2,000
Huu uzi mzuri sana,people are talking of 2019 cars wakati mimi ndio kwanza niko na used langu kutoka Japan la 2001!ila nasumbua kiasi,kwani huku mtaani kwetu hayo ma S-class na ma Nissan Leaf hawayajui kabisa...
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,639
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,639 2,000
Huu uzi mzuri sana,people are talking of 2019 cars wakati mimi ndio kwanza niko na used langu kutoka Japan la 2001!ila nasumbua kiasi,kwani huku mtaani kwetu hayo ma S-class na ma Nissan Leaf hawayajui kabisa...

Kweli itachukua miaka mingi sana kuona watu wengi wakinunua magari mapya kama wanavyonunua smartphones
Kwani bei ni kubwa sana kiasi kwamba kwa mshahara huo wanaoweza kumudu ni wachache sana
Kinachosaidia mataifa mengine ni Instalments za kila mwezi kwa hiyo unanunua kutokana na bajeti yako na mshahara wako ulivyo na unakatwa kila mwezi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
919
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
919 1,000
Ni kweli kabisa tena akiwezeshwa na akapata vitendea kazi vya uhakika na UAMINIFU anaweza kutengeneza hela kuliko msomi mkubwa wa kuriri
Hebu fikiria kijana mechanics au electrician akawa na kila kitu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kabisa yaani. Na viwandani wanawapenda saana. Maana wanafanya kazi nzuri na expectation ya malipo sio kubwa kama waliomaliza vyuo vikuu.
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
919
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
919 1,000
Huu uzi mzuri sana,people are talking of 2019 cars wakati mimi ndio kwanza niko na used langu kutoka Japan la 2001!ila nasumbua kiasi,kwani huku mtaani kwetu hayo ma S-class na ma Nissan Leaf hawayajui kabisa...
Hehehee. Sio lazima uwe nalo mkuu. Wakati mwingine hobby inakufanya ufurahie kujua nini kinaendelea kwenye hiyo industry. Kuna watu wanamiliki hayo magari lakini hawayafahamu vizuri features za magari hayo. Hujawahi kuona dereva hajui kutoa tairi pindi anapopata pancha?
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
919
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
919 1,000

Kweli itachukua miaka mingi sana kuona watu wengi wakinunua magari mapya kama wanavyonunua smartphones
Kwani bei ni kubwa sana kiasi kwamba kwa mshahara huo wanaoweza kumudu ni wachache sana
Kinachosaidia mataifa mengine ni Instalments za kila mwezi kwa hiyo unanunua kutokana na bajeti yako na mshahara wako ulivyo na unakatwa kila mwezi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kabisa. Nafikiri ni rahisi kununua gari huko kuliko hapa kwetu. Maana hata ukilinunua huko, ukija kwetu jua kodi inakusuburi.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,639
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,639 2,000
Kabisa. Nafikiri ni rahisi kununua gari huko kuliko hapa kwetu. Maana hata ukilinunua huko, ukija kwetu jua kodi inakusuburi.
Halafu kodi yenyewe ya kukomoana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,690
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,690 2,000
Yaani hii huwa inaumiza saana. 2010 tunaongelea almost 10 yrs ago now, lakini mpaka sasa gari la mwaka huo kwa spares ni kimeo hapa kwetu. Mie huwa nashangaa unakwenda kwenye garage kubwa kabisa lakini oil filter wanafungua kwa kamba. Unajiuliza hawa watu wako karne gani. Mbona kuna tools za kufungulia na ziko cheap kabisa. Hapo na imani inapotea. Kila kitu wanafungua kwa kugonga na nyundo. Sasa electric car uje ugonge na nyundo kutoa ball joint, si unaharibu motors zote na battery kabisa.
Hiyo ndo Tanzania.

Kama hujapeleka gari yako kwa dealership, huko mtaani ni pata potea.
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,690
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,690 2,000
Hehehee! Kweli mwanzoni ni ngumu saana. Kuna hiyo park assist, kuna ile adaptive cruise control na lane keep assist. Zote huwa siziamini hata kidogo. Naona zinaleta stress tu kwa kweli.
Kwa dunia ya kwanza hizi features unaziamini bila tatizo.
Ila huku kwetu, ukiziamini utashangaa daladala ya gongo la mboto imeshakupiga pasi kwenye lane yako.

Na signs nyingi bongo zimefutika au hazipo sehemu zinapotakiwa kuwepo, mistari barabarani imefutika kabisa, gari itaonaje hapo? Itakutupa mtaroni.
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
919
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
919 1,000
Hiyo ndo Tanzania.

Kama hujapeleka gari yako kwa dealership, huko mtaani ni pata potea.
Na dealers wengine ujanja ujanja tu. Usipokuwa makini wanakucharge bei kubwa halafu spares wanafunga za mtaani. Ilishanikuta hii.
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
919
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
919 1,000
Kwa dunia ya kwanza hizi features unaziamini bila tatizo.
Ila huku kwetu, ukiziamini utashangaa daladala ya gongo la mboto imeshakupiga pasi kwenye lane yako.

Na signs nyingi bongo zimefutika au hazipo sehemu zinapotakiwa kuwepo, mistari barabarani imefutika kabisa, gari itaonaje hapo? Itakutupa mtaroni.
Kweli mkuu. Huku kwetu ni ngumu saana. Bado suala la miundombinu halijawa standard. Kuna sehemu unakwenda unakuta jamaa wameweka bumps za ajabu mpaka gari linagusa. Sasa unajiuliza lengo lao ni magari kupunguza mwendo au kushindwa kupita kabisa.
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,690
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,690 2,000
Kweli mkuu. Huku kwetu ni ngumu saana. Bado suala la miundombinu halijawa standard. Kuna sehemu unakwenda unakuta jamaa wameweka bumps za ajabu mpaka gari linagusa. Sasa unajiuliza lengo lao ni magari kupunguza mwendo au kushindwa kupita kabisa.
Kabisa mkuu
 
Troll JF

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Messages
7,155
Points
2,000
Troll JF

Troll JF

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2015
7,155 2,000
Mkuu kwa mfano ukichek audi A8 ya 2018 kodi ya tra ni Tsh.54mil wkt ukuchek S-class ya 2018 inaleta 117mil mkuu.

Na ni kwa gari zote za audi ukilinganisha za same class/year na za bimmer/benz unakuta tofauti ni kubwa tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiloge hiyo Calculator ni ya Used usije ukaagiza ndinga mpya ikakutokea puani
 
R

Rational_Thinker

Member
Joined
Mar 23, 2019
Messages
10
Points
45
R

Rational_Thinker

Member
Joined Mar 23, 2019
10 45
Mkuu kama packing inatafuta na kuingia yenyewe unaonaje hiyo
Na taa zake zinafuata matairi wakati unakata kona
Ina safety features kibao
Lakini wanachuana na gari nyingi sana
Maana kila mmoja anataka kumuonyesha mwenzake kuwa nae ni kiboko

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Angalia Volkswagen Tourege W12. Ina cylinder 12 na zimekaa W shape. 0 to 60 ni 3Sec. Features zake ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,296,166
Members 498,559
Posts 31,236,983
Top