2019 Mercedes S Class

Mie jamaa sijapenda hii trend yao ya sasa ya kuzalisha Range Rover za aina nyingi. Bora wangebaki mbili kama mwanzo.
Hapa wanatupiga tu maana wameona japan aliwapiga sana
Kwa mfano Toyota wana aina ngapi na Nissan zipo kibao na wanapopigania ni bei
Lakini wangebaki na kutengeneza aina moja tu na bei moja ni wachache watanunua
Kwa hiyo ni mchuano
Na sasa wanaanza za umeme baada ya petrol na diesel kupigwa marufuku

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
S-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.
Tena sasa hivi nafikiri model zote za S Class zina V12 engines.
 
Kweli aisee mkuu ila ziko complicated pia.

Kwny msafara wa Magu/Majaliwa/Mama samia kuna mmojawao anatumia S-class na mwingine anatumia 7-series ila sikumbuki ni mh. gani kati ya hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri Magu ana li 7series lake. Kuna jamaa alisema ni gari lake binafsi. Ila kwa Ikulu nafikiri wanatumia S Class. Huwa naziona saana kwenye misafara.
 
Audi hazina soko saana kama Mercedes na BMW. Hata huko Ujerumani.
Lakini Audi zipo sana na zinauzikana sana mkuu
A,Q na Rs na S line zimetapakaa sana siku hizi zipo ndogo A1 mpaka A8
Ziko poa sana
Ila kuna gari ilikuwa ya Czech na wamenunua vw inaitwa Skoda ni bei rahisi na ni nzuri sana hata kwa uendeshaji wake
Niliendesha Octavia imetulia sana
Kwa kweli German ni habari nyingine kwa gari zake zote

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
A8 iko poa sana nayo,afu sijui ni kwanini Audi kwny calc. Ya Tra kodi yake inakuaga ni cheap kulinganisha na gari za same class,same year za Bmw&benz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu labda wanaona jina tu Mercedes Benz ndio linawachanganya maana Audi A8 kwa bei iko juu pia na kuna moja iko bei zaidi ya baadhi ya S class Mercedes

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkuu kwa mfano ukichek audi A8 ya 2018 kodi ya tra ni Tsh.54mil wkt ukuchek S-class ya 2018 inaleta 117mil mkuu.

Na ni kwa gari zote za audi ukilinganisha za same class/year na za bimmer/benz unakuta tofauti ni kubwa tu mkuu.
Mkuu labda wanaona jina tu Mercedes Benz ndio linawachanganya maana Audi A8 kwa bei iko juu pia na kuna moja iko bei zaidi ya baadhi ya S class Mercedes

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Audi ninazo zitamani ni S10 na Rs6 Avant hii ni ultimate sleeper mambio yake si ya mchezo mchezo aisee.

Lakini Audi zipo sana na zinauzikana sana mkuu
A,Q na Rs na S line zimetapakaa sana siku hizi zipo ndogo A1 mpaka A8
Ziko poa sana
Ila kuna gari ilikuwa ya Czech na wamenunua vw inaitwa Skoda ni bei rahisi na ni nzuri sana hata kwa uendeshaji wake
Niliendesha Octavia imetulia sana
Kwa kweli German ni habari nyingine kwa gari zake zote

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila duniani kuna watu wanaenjoy magari,kitu unakuta S- class V12 AMG,yaani daaah.

Ni kweli aisee,hio LS niliona toyota version yake Toyota celsior model ya 2004 trim level aisee mle ndani tech iliyokuwepo ni balaa mpk watu wa benz walishtuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Saana. LS iko poa saana. Japo siku hizi muonekano wake kwa kweli huwa haunivutii sana. Pale mbele wamelitengeneza limekuwa aggressive saana.
 
Aisee lakini mimi naziona ziko poa na zimetulia sana
Kama ni gari endesha hizo mzee kwani zimetulia sana

Hii XJ wametoa autobiography ina extra nyingi sana dashboard yake ni mahogany na interior design yake ni ajab
Nilienda kuichukua Cardiff yaani ni bonge la gari
Ni 5.0 lt V8 supercharge petrol
Wameweka mpaka local channel tv ila cha ajabu passenger anaangalia kwenye screen ya mbele lakini wewe huoni kama gari iko on na inatembea
Heated seat na heated steering kila kitu ndani mpaka mwamvuli hahaa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ila Bongo sijui kwa nini hizi gari ni chache saana.
 
Saana. LS iko poa saana. Japo siku hizi muonekano wake kwa kweli huwa haunivutii sana. Pale mbele wamelitengeneza limekuwa aggressive saana.
Aisee ni kweli mkuu,gari nyingi za miaka hii zimekua na muundo wa hovyo sana.

Kuna taste inamiss sana kipindi hiki,toyota/lexus wana ugly grills balaa .

Gari zimekua mbaya balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.
Kumbe mnanunua magar ili mtongoze wanawake bila kuongea
Madomo zege aisee polen Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari la JLR karibu zote zina shida ya reliability. Wanaozipenda wanaziita "special car" kama ilivyo kwa a special child. Mara nyingi ni kimeo.
Hahah ni kweli mkuu,nilijashionea mwenyewe.

Hilo linatakiwa Kutoka J2 kwa J2.

By the way ngoja niingize mada isiyohusika,nilikua naangalia mziki wa Jeep Srt8 aisee si wa kitoto mkuu.umeshawahi kuifuatilia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom