2019 Mercedes S Class

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000
Siku naelekezwa nilisema leo ndio kukoma ubishi
Yaani kwanza unaingia packing halafu unaiacha itafute parking yenyewe
Speed 10m/h polepole inaenda yenyewe ikipata sehemu hata katikati ya gari mbili na inaona inaweza kuingia kwa ukubwa wake
Command and control inakuambia relax usiguse kitu hapo ndio utajua mzungu kawa MFIPA

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Heheheee! I can only imagine. Kwa kweli ni ngumu. Lazima mguu utajikuta umekanyaga kwenye break. Daa! Mie niliona kwenye S Class ya 2016. Ila ile breaking ni wewe. Steering ndio inajipeleka yenyewe.
 
black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
13,420
Points
2,000

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
13,420 2,000
Heheheee! I can only imagine. Kwa kweli ni ngumu. Lazima mguu utajikuta umekanyaga kwenye break. Daa! Mie niliona kwenye S Class ya 2016. Ila ile breaking ni wewe. Steering ndio inajipeleka yenyewe.

Umejuaje? maana mguu ulikuwa kwenye break kwa woga
Jicho linatoka balaa
But i was fun niliporudia tena

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
13,420
Points
2,000

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
13,420 2,000
Hapo kwa kweli umeme unahusika. Ndio maana kila manufacturer sasa hivi anajitahidi kutengeneza gari la umeme.
Mkuu kampuni nyingi wamenunua hizo
Na Heathrow wanazo Nissan Leaf nyingi sana halafu wana sehemu zao za ku charge mpaka kwenye parking
Ila ghali bado mpaka ziwe nyingi ndio zitashuka bei labda

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,993
Points
2,000

ipyax

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,993 2,000
Hivi spares parts zake zinapatikana kweli mitaani kwetu? Nimeviona kadhaa vikipita pita mtaani. Ila nina mashaka saana na mafundi wetu. Though kuna mdau mmoja, LEGE nafikiri alisema kwenye garage yake wanaweza kuvirekebisha. Maana mafundi wetu wengi wanazingua. Hivi vigari vyenye electric steering vinawasumbua saana. Kikiwasha taa wengi wao wanazima sensor tu.
Ok,spares siku hizi ni kuagiza kwa mtandao tu ,kariakoo ,ilala utateseka bure tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
19,581
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
19,581 2,000
Hapo sawa. Maana 40 mins unategea muda wa lunch huku gari linajaa. Sasa sijui unalipia vipi kujaza gari. Wanacharge based on time, au kuna jinsi ya kuangalia umetumia units kiasi gani.
Kuchaji ni free in public places (Charging Points) kwa sababu wana encourage matumizi ya hizo EV Vehicles atleast for now! Ila pia unaweza nunua adaptive fast charging system wakakufungia socket kwako kwenye system yako ya umeme.
 
ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,993
Points
2,000

ipyax

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,993 2,000
Ila jamani mkorea nae yuko vizuri sana, Kia/Hyundai partnership wanamfanya mjapani akune kichwa .Kia wana hizi stinger pamoja na Kia telluride ni balaa. Wana luxury brand yao inaitwa genesis wanatoa gari kali sana, Genesis G70,G80 na G90.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000
Kuchaji ni free in public places (Charging Points) kwa sababu wana encourage matumizi ya hizo EV Vehicles atleast for now! Ila pia unaweza nunua adaptive fast charging system wakakufungia socket kwako kwenye system yako ya umeme.
Aise. Basi EV ndio way forward. Kumbe charging ni bure kwa sasa. Basi waarabu watapata taabu saana pindi bei ya EV itakapokuwa affordable kwa wengi. Maana hata wakianza kulipisha charging, haitakuwa gharama saana.
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000
Mkuu kampuni nyingi wamenunua hizo
Na Heathrow wanazo Nissan Leaf nyingi sana halafu wana sehemu zao za ku charge mpaka kwenye parking
Ila ghali bado mpaka ziwe nyingi ndio zitashuka bei labda

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Yes. Sasa hivi EV makapuni mengi yanatengeneza just for publicity. Ila soon utaona flagships za makampuni makubwa zinakuwa EV. Nilishangaa kusikia na Range Rover wamekwenda huko. So soon zitashuka bei. At least kwa huko. Maana huku huwa tunajiwekea another 10yrs mpaka model iwe affordable kwa wengi.
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000

Umejuaje? maana mguu ulikuwa kwenye break kwa woga
Jicho linatoka balaa
But i was fun niliporudia tena

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hehehee! Kweli mwanzoni ni ngumu saana. Kuna hiyo park assist, kuna ile adaptive cruise control na lane keep assist. Zote huwa siziamini hata kidogo. Naona zinaleta stress tu kwa kweli.
 
black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
13,420
Points
2,000

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
13,420 2,000
Yes. Sasa hivi EV makapuni mengi yanatengeneza just for publicity. Ila soon utaona flagships za makampuni makubwa zinakuwa EV. Nilishangaa kusikia na Range Rover wamekwenda huko. So soon zitashuka bei. At least kwa huko. Maana huku huwa tunajiwekea another 10yrs mpaka model iwe affordable kwa wengi.
Kweli kabisa
Itabidi waafrika nasi tutengeneze zetu au vyuo vifungwe tu maana elimu yetu haina faida

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
13,420
Points
2,000

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
13,420 2,000
Hehehee! Kweli mwanzoni ni ngumu saana. Kuna hiyo park assist, kuna ile adaptive cruise control na lane keep assist. Zote huwa siziamini hata kidogo. Naona zinaleta stress tu kwa kweli.
Lane assist ni fujo tu na kelele ni kuizima tu lakini cruise control ni nzuri ina maintain speed yako kama kuna speed camera
Hii naitumia sana maana kuna camera nyingi sana
Ingawa inaku allert kuwa kuna camera mbele
Sio kama huko aanjificha juu ya mti

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000
Lane assist ni fujo tu na kelele ni kuizima tu lakini cruise control ni nzuri ina maintain speed yako kama kuna speed camera
Hii naitumia sana maana kuna camera nyingi sana
Ingawa inaku allert kuwa kuna camera mbele
Sio kama huko aanjificha juu ya mti

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Huku siku hizi balaa ni kwenye zebra crossing. Ukipita na speed zaidi ya 50kph wana wewe.
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000
Kweli kabisa
Itabidi waafrika nasi tutengeneze zetu au vyuo vifungwe tu maana elimu yetu haina faida

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Elimu yetu ni ya kizamani saana. Hatuendani maendeleo ya dunia. Ndio maana bado tutaendelea kuwapa kazi watu wa nje kwenye mambo iliyotakiwa tufanye wenyewe.
 
black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
13,420
Points
2,000

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
13,420 2,000
Elimu yetu ni ya kizamani saana. Hatuendani maendeleo ya dunia. Ndio maana bado tutaendelea kuwapa kazi watu wa nje kwenye mambo iliyotakiwa tufanye wenyewe.
Mwanafunzi anakariri tu vitabu halafu kwenye mtihani akipasi anajisifia na kutamba
Lakini maisha yakianza ndio anaanza ujanja ujanja tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Forum statistics

Threads 1,344,369
Members 515,441
Posts 32,817,706
Top