2019 Mercedes S Class

RugambwaYT

Verified Member
Jan 11, 2014
1,087
2,000
Hawa jamaa kwa kweli wanajua wanachokifanya aise. Mercedes S Class ni dunia nyingine kwenye ulimwengu wa magari. Japo itatuchukua kama 20yrs kwa jamaa wa mtaani kwetu kumiliki gari kama hizi, inafurahisha kujua nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa magari.
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,095
2,000
Nakumbuka zamani sana Merc ilikuwa ikitengenezwa toleo moja linakaa miaka 10 ndio wanatoa design tofauti.
Lakini walipoona mjapani anampita sana kwa mauzo nae akaamua kuanza kutengeneza aina tofauti tofauti
Na mjerumani hana utani likija suala la safety na uimara katika kazi zake.
Hapa nilipo sio ujerumani lakini kila gari 4 zikipita barabarani moja ni ya mjerumani
Kwa kweli Benz lina heshima yake ndio maana wamegoma kuiuza hii kampuni maana ni nembo ya Taifa kwa kweli

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
 
Kweli mkuu siku hizi zinachanganya sana E na C utofauti coupes na cabriolet au saloon ndio utaona utofauti
Na bei zake hazipishani sana hivyo
Lakini mimi mpenzi wa Audi na Range Rover mkuu

Range Rover kwa kweli zina muonekano mzuri, I wish Mjapan angecopy muundo wa Range Rover. Yaani Range Rover hata ukiiona kwa mbali unajua ni gari la maana. Shida yake tu kwamba sio reliable. Ni gari ambalo unatakiwa uwe na mkwanja wa kutosha ndio utalifaidi vizuri.

Kwenye Audi nakuunga mkono. Huwa zimetulia saana. Kama A8 ya 2019 iko poa saana.
 
mysterio

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,739
2,000
S-class ndio flagship ya Benz hatari sana hio,bmw walijaribu ku compete nae kwa 7-series yao lkn naona reviews za 7-series haziko poa huko mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
S-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.
 
kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
6,134
2,000
Nakumbuka zamani sana Merc ilikuwa ikitengenezwa toleo moja linakaa miaka 10 ndio wanatoa design tofauti.
Lakini walipoona mjapani anampita sana kwa mauzo nae akaamua kuanza kutengeneza aina tofauti tofauti
Na mjerumani hana utani likija suala la safety na uimara katika kazi zake.
Hapa nilipo sio ujerumani lakini kila gari 4 zikipita barabarani moja ni ya mjerumani
Kwa kweli Benz lina heshima yake ndio maana wamegoma kuiuza hii kampuni maana ni nembo ya Taifa kwa kweli

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Uingereza wameuza Land rover kwa India wakaharibu mambo yote
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,095
2,000
Uingereza wameuza Land rover kwa India wakaharibu mambo yote
JLR ni ya Tata na kwa sasa wameamua kuhamisha kiwanda huko Slovakia, na hapa Solihull na kwingine baadhi vitabakia hapa UK ingawa wengi watakosa ajira.

Tata ni habari nyingine na wote wanaofanya kazi JLR bado wameajiriwa hapo
Kwa hiyo mitambo ni ile ile na bado ina ubora
Karibia Jaguar zote nimeendesha zikiwa mpya kwa hiyo heshima yake ni ile ile na bei ziko juu sana
I-pace jaguar imetengenezwa Austria na ni electric
Dhumuni sasa ni kuhakikisha magari yote yawe na mfumo wa umeme.
Diesel kwaheri
Na gari ya umeme kama ni zero emissions hulipi road tax
JLR wako mbali sana kwa gari zao mkuu asikuambie mtu nazijua sana mpaka top of the range nimeendesha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,563
2,000
Kweli aisee mkuu ila ziko complicated pia.

Kwny msafara wa Magu/Majaliwa/Mama samia kuna mmojawao anatumia S-class na mwingine anatumia 7-series ila sikumbuki ni mh. gani kati ya hao.

S-Class ni habari nyingine kwenye classes zote za Mercedes, si gari la malofa kwa sababu hata engine capacity yake ni kubwa lakini very luxurious, ukimbeba mdada, wala usitongoze nenda moja moja kwenye eneo la tukio.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,563
2,000
Jamaa wako vizuri sana na msemo wao maarufu'The best or Nothing'.
Nakumbuka zamani sana Merc ilikuwa ikitengenezwa toleo moja linakaa miaka 10 ndio wanatoa design tofauti.
Lakini walipoona mjapani anampita sana kwa mauzo nae akaamua kuanza kutengeneza aina tofauti tofauti
Na mjerumani hana utani likija suala la safety na uimara katika kazi zake.
Hapa nilipo sio ujerumani lakini kila gari 4 zikipita barabarani moja ni ya mjerumani
Kwa kweli Benz lina heshima yake ndio maana wamegoma kuiuza hii kampuni maana ni nembo ya Taifa kwa kweli

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,563
2,000
Ila duniani kuna watu wanaenjoy magari,kitu unakuta S- class V12 AMG,yaani daaah.

Ni kweli aisee,hio LS niliona toyota version yake Toyota celsior model ya 2004 trim level aisee mle ndani tech iliyokuwepo ni balaa mpk watu wa benz walishtuka.
Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,563
2,000
Jaguar XJ 2010 nimeshaiendesha,ndani kama ndege vile,ila interior design ikianza kuji-peel ni balaa na reliability yake sikuipenda sana.

JLR ni ya Tata na kwa sasa wameamua kuhamisha kiwanda huko Slovakia, na hapa Solihull na kwingine baadhi vitabakia hapa UK ingawa wengi watakosa ajira.

Tata ni habari nyingine na wote wanaofanya kazi JLR bado wameajiriwa hapo
Kwa hiyo mitambo ni ile ile na bado ina ubora
Karibia Jaguar zote nimeendesha zikiwa mpya kwa hiyo heshima yake ni ile ile na bei ziko juu sana
I-pace jaguar imetengenezwa Austria na ni electric
Dhumuni sasa ni kuhakikisha magari yote yawe na mfumo wa umeme.
Diesel kwaheri
Na gari ya umeme kama ni zero emissions hulipi road tax
JLR wako mbali sana kwa gari zao mkuu asikuambie mtu nazijua sana mpaka top of the range nimeendesha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,095
2,000
Jaguar XJ 2010 nimeshaiendesha,ndani kama ndege vile,ila interior design ikianza kuji-peel ni balaa na reliability yake sikuipenda sana.Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee lakini mimi naziona ziko poa na zimetulia sana
Kama ni gari endesha hizo mzee kwani zimetulia sana

Hii XJ wametoa autobiography ina extra nyingi sana dashboard yake ni mahogany na interior design yake ni ajab
Nilienda kuichukua Cardiff yaani ni bonge la gari
Ni 5.0 lt V8 supercharge petrol
Wameweka mpaka local channel tv ila cha ajabu passenger anaangalia kwenye screen ya mbele lakini wewe huoni kama gari iko on na inatembea
Heated seat na heated steering kila kitu ndani mpaka mwamvuli hahaa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
RugambwaYT

Verified Member
Jan 11, 2014
1,087
2,000
JLR ni ya Tata na kwa sasa wameamua kuhamisha kiwanda huko Slovakia, na hapa Solihull na kwingine baadhi vitabakia hapa UK ingawa wengi watakosa ajira.

Tata ni habari nyingine na wote wanaofanya kazi JLR bado wameajiriwa hapo
Kwa hiyo mitambo ni ile ile na bado ina ubora
Karibia Jaguar zote nimeendesha zikiwa mpya kwa hiyo heshima yake ni ile ile na bei ziko juu sana
I-pace jaguar imetengenezwa Austria na ni electric
Dhumuni sasa ni kuhakikisha magari yote yawe na mfumo wa umeme.
Diesel kwaheri
Na gari ya umeme kama ni zero emissions hulipi road tax
JLR wako mbali sana kwa gari zao mkuu asikuambie mtu nazijua sana mpaka top of the range nimeendesha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mie jamaa sijapenda hii trend yao ya sasa ya kuzalisha Range Rover za aina nyingi. Bora wangebaki mbili kama mwanzo.
 
Top Bottom