Vichaa kiroho

Vichaa kiroho

G

guest-1795378001

Guest
Aina ya kwanza
Ni mchawi gwiji anayetumikia adhabu kutokana na makosa aliyoyafanya katika ulimwengu WA Giza,ikiwemo kuchelewa kutoa kafara ama makosa mbalimbali..ama aloyeshishwa cheo...ndio utamuona KICHAA chizi jalalani..lakini pamoja na hali hiyo bado anakuwa anawanga

Aina ya pili
Ni mtu ambaye NYOTA yake imeshaibwa ama kishwahilo Cha ZAMANI imeibiwa.Mtu ambaye NYOTA yake inatumiwa na watu WENGINE..anakuwa KICHAA.
Mfano wale matajiri wanaotumia utajiri WA kichawi utakuta Wana mtoto Mmoja TAHIRA wanamfungia ndani..anakuwa anadondosha mimate lakini wanakuwa wanampenda sana..

Ama anaweza akawa KICHAA anazunguka mtaani ,KICHAA kikicharuka ndio na kule wanapiga hela.

Aina ya tatu
MSUKULE mtu ambaye NAFSI yake imeibwa ,Yani pale umebaki mwili TU ,Hauna fahamu hata moja ,MSUKULE hajielewi NAFSI yake inatumikishwa sehemu nyingine..ama huku DUNIANI wanajua amekufa ila kumbe hajafa amefichwa NAFSI yake humuhumu duniani anatumikishwa ,ama kuzimu ya DUNIANI.

Ama pia anakuwa NUSU NAFSI ya MTU NUSU NAFSI ya shetani...lakini pia lazima atumikishwe kichawi..kulingana na NYOTA yake ,mwingine atakuwa chuma ulete,mwingine Kuvuta wateja mwingine kwenye biashara ya watu,kuwanga kuwangia watu,kuuzwa kuna soko la misukule,kwa KAZI mbali mbali ni kama KIJAKAZI

AINA YA MWISHO NIAGONJWA YA KAWAIDA TU...YA KIBINADAMU.
ni wale vichaa WA kuugua magonjwa,japo hata magonjwa pia ni Roho ya mauti,naamini magonjwa yote YANATOKA kwa SHETANI,Mungu hawaletei wanadamu magonjwa ila anaweza kukuondolea ulizinzi akaruhusu ujaribiwe kwa magonjwa kupima Imani Yako KWAKO kama ilivyotokea kwa Ayubu,ama kama kiboko mapigo kwa WAOVU ili wabadikishe waache maovu,

Ama anaweza kuruhusu kupitia kuugua iwe NJIA Yako ya WEWE kufa hapa duniani halafu akuchukue kwenda mbinguni kama ilivyokuwa kwa ELISHA.


HAPA Madaktari sasa watakuja na melezo Yao ya kisayansi kuhusu mental illness.

Japo kila jambo linalotokea katika ulimwengu WA kimwili Lina upande WA KIROHO.(KWA WANAOAMINI KTK ULIMWENGU WA KIROHO)
 
Back
Top Bottom