2019 Mercedes S Class

Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,763
Points
2,000

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,763 2,000
Hata Discovery 5 haijakaa kama 4 au 3.

Napenda gari zenye boxy shape.

Kwanini hawajaretain model yao kama Merc G63 au G65? Ambao wana miaka almost 40 na muonekano uleule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo trend ya gari nyingi. Si umeona hata Volvo gari maarufu kwa muundo wa box, nao wameleta matoleo ya kimayaiyai. Ukianzia na S90 na hata XC90 ya kuanzia 2015.
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000
Road trips na barabara zetu hizi? Si kutafuta majanga!!
Hehehee! Imebidi nicheke. Last month nilifanya road trip kidogo. Nikiwa kwenye high speed ghafla naona jiwe kubwa mbele yangu nikashindwa kulikwepa. Kilichofuata hapo mmh, ni balaa. Sasa nikabaki najiuliza hilo jiwe lilifikaje hapo?
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,006
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,006 2,000
Ndiyo trend ya gari nyingi. Si umeona hata Volvo gari maarufu kwa muundo wa box, nao wameleta matoleo ya kimayaiyai. Ukianzia na S90 na hata XC90 ya kuanzia 2015.
Kweli. Ni baadhi ndio wameamua kukaza. G wagon kwa mfano. Hata Land Cruiser kidogo halibadiliki saana. Huwezi kutana nalo ukabaki unajiuliza ni gari gani.
 
Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,763
Points
2,000

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,763 2,000
Kweli. Ni baadhi ndio wameamua kukaza. G wagon kwa mfano. Hata Land Cruiser kidogo halibadiliki saana. Huwezi kutana nalo ukabaki unajiuliza ni gari gani.
Mimi ni mpenzi wa Volvo. Sasa XC90 ya kuanzia 2015 utafikiri Audi Q7 au VW Touareg
 
Forum statistics

Threads 1,343,447
Members 515,059
Posts 32,785,032
Top