Sasa kama wanadhani kwa kujitoa kum support ndiyo wanamkomoa basi hiyo imekula kwao, maana hapo looser ni Republicans siyo Trump. Democrats wanachekea kwapani ili wasionekane kuwa wanawacheka Republicans kwa jinsi wanavyo wasaidia.Nadhani na hii idadi ya wanaomshinikiza ajitoe inazidi kuwa kubwa kwa kutilia maanani kwamba uwezekano wa yeye kushinda ni finyu mno! Hivyo wanataka Mike Pence ndiye awe mgombea. Na baadhi wameshatoa kauli ya kupinga kumpa funds za GOP kugharamia kampeni yake katika hizi wiki nne zilizobaki.
Sasa kama wanadhani kwa kujitoa kum support ndiyo wanamkomoa basi hiyo imekula kwao, maana hapo looser ni Republicans siyo Trump. Democrats wanachekea kwapani ili wasionekane kuwa wanawacheka Republicans kwa jinsi wanavyo wasaidia.
Na kama Trump hatashinda safari hii, basi Republicans wasahau kabisa kuja kutokea kusimama na kushinda nafasi ya urais wa Marekani.
Uchaguzi huu umebeba hatma ya Republicans.
Well, say no more coz you already know.
Samahani wakuu naomba niulize kitu. Hivi mfumo wa uongozi wa marekani una vice-president na prime minister? Na kama wapo, mbona kila siku tunashuhudia political popularity na maamuzi mengi yanafanywa na Mr. President pamoja na state secretary ? Sijajua hawa watu wawili wana-occupy role zipi pale marekani sanasana kwenye global politics. Msaada pliz (I understand that I am still wet behind the ears on the issues of international politics and history)
Donald Trump anajiandaa kutema cheche kali kabisa kuwahi kutokea katika kampeni za uraisi chini Marekani.
Muuliza maswali anaitwa Anderson Cooper ambae anatoka CNN na itatupwa shilingi na atakaeshinda anakuwa wa kwanza kuulizwa suali.
Cooper atakuwa akishirikiana na Martha Raddatz wa ABC na watu wengine arobaini wameteuliwa kuuliza masuali yao kwa wagombea hawa wawili kwenye ukumbi wa chuo kikuu cha Washington kilichiko St Louis.
I think Hillary ndo ataanza kuulizwa swali.
Huyu Trump better be careful na cheche zake zisije mrudia, na hivi kajeruhiwa, atakuwa mbogo leo.
Ila Trump ana guts kweli.
Yaani pamoja na utata wote huu bado atajitokeza kwenye mdahalo?
Daaah!
Leo panachimbika hapo Washington.
Sasa hivi kwa saa za St Louis ni saa 12 jioni.
Amewaita wale wote wanaounga mkono ang'oke ni traitors and hypocrites.
Hii ya leo naona ni one of the most anticipated debate, vile watu watataka kumsikia after his terrible weekend.
Lakini ana moyo, to face people after that mishap.
He is something else!
I honestly thought this controversy was it.
That he was going to step down as the nominee.
Evidently I was wrong.
The man is bound and determined to stay put till the end.
Wowzers!!!!
Bill Clinton confirmed atakuwepo pia, jana alidhaniwa kuwa angeweza ku miss.
Tutaona the way Trump will go after him.
Mdahalo wa leo shughuli pevu.
This will be his night.
He is moving for the kill.
But Clintons are lying in wait to sting on the tail.