2016 US Elections - Exlusive discussion thread

2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Ni aibu kubwa kweli debate ya issues mbali mbali muhimu za US na dunia nzima itekwe nyara na mambo ya kuhusu nonino. Simaanishi matendo waliyotendewa hawa wadada na kauli za Trump hayana/hazina uzito.

Kati ya hao wanawake wanne, wawili ambao ni Paula Jones na Kathy Shelton mmoja wao amesema wazi kwamba Bill Clinton alimbaka na Hillary Clinton akamtishia kutosema kokote!

Hiyo ni hatari!
 
Jamani hawa accusers ni wa Bill na anayegombea ni Hilary. Wakulaumiwa ni Bill na sio mgombea. Km mkuu Ngabu alivyosema awali it has nothing to do with Hilary. Mie naona ni mfa maji haachi kutapatapa. Yeye Trump ajibu mapigo yake.

Mkuu , upo sawa kabisa wala hakuna tatizo.

Ila, video walozitoa kuhusu Trump zinahusu kauli zake na si vitendo.

Sasa mwenye akili kama upande wa Clinton wangeona hiyo tofauti kwamba Hillary nae alimlinda mumewe kwa kuangalia nafasi yake ya uraisi.

Hivyo moja kwa moja Trump nae anastahili kumshambulia Hillary Clinton kwa kupitia kwa muwewe huyohuyo.

Ndiyo siasa hiyo na Trump anatumia kauli inayosema ukiwekewa sumu kooni usiimeze.
 
Ni aibu kubwa kweli debate ya issues mbali mbali muhimu za US na dunia nzima itekwe nyara na mambo ya kuhusu nonino. Simaanishi matendo waliyotendewa hawa wadada na kauli za Trump hayana/hazina uzito.

Ni kweli mkuu, lakini siasa mataifa haya makubwa sasa hivi ni biashara hakuna jingine.

Na tabia hiyo imeambukiza mataifa mengine duniani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni aibu kubwa kweli debate ya issues mbali mbali muhimu za US na dunia nzima itekwe nyara na mambo ya kuhusu nonino. Simaanishi matendo waliyotendewa hawa wadada na kauli za Trump hayana/hazina uzito.

I know right, aangalie tu yasimrudie.

Hillary has been to hell and back to be where she is, hii usikute cha mtoto kwake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We'll see how this plays out for both sides though, I think it's childish of Trump. He's not competing with Bill.

Trump hana choice he's being put in a corner so he has to come out yelling.
 
I agree with you Mkuu, but this is not the right way to fight back. Angeamua kuomba samahani kwa lugha yake chafu na kutozileta issues za Bill Clinton na wanawake wake na kudiscuss important issues angejizolea points nyingi sana, lakini ndiyo hivyo Trump will always be Trump.

Trump hana choice he's being put in a corner so he has to come out yelling.
 
Trump hana choice he's being put in a corner so he has to come out yelling.

Ni sawa kwake ku react, it's expected, but at the same time he has to act like a grown up. Sio hivi.
Sasa inageuka kuwa kama reality show, badala ya presidential debate.
 
I agree with you Mkuu, but this is not the right way to fight back. Angeamua kuomba samahani kwa lugha yake chafu na kutozileta issues za Bill Clinton na wanawake wake na kudiscuss important issues angejizolea points nyingi sana, lakini ndiyo hivyo Trump will always be Trump.

Pale ndani wamekusanywa watu arobaini ambao wanataka kufahamu sera za wagombea hawa wawili kwa wananchi wa Marekani ambao wengine hawana hata akiba ya dola 7 kwenye akaunti benki, yaani wale watu maskini.

Hivyo basi Hillary Clinton atakuja akiwa ametulia kama alivyofanya mara ya kwanza na Trump nae anatakiwa azungumzie sera zake kwa wananchi ili wamwelewe na waamue mgombea yupi kati ya hawa wanamchagua.

Kuachiwa kuendesha ofisi pale Oval sio jambo la masihara kwa nchi hii kubwa kabisa duniani.
 
I agree with you Mkuu, but this is not the right way to fight back. Angeamua kuomba samahani kwa lugha yake chafu na kutozileta issues za Bill Clinton na wanawake wake na kudiscuss important issues angejizolea points nyingi sana, lakini ndiyo hivyo Trump will always be Trump.

...exactly my thoughts!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa jinsi Trump alivyo hii beef itaendelea hata baada ya uchaguzi....
 
Wakuu, nasikitika kuwaacha naona majukumu mengine yanajongea.

Kila la kheri kwa mdahalo wenye amani, ukizingatia Trump alikiri kukubali matokeo endapo atashindwa.
 
Trump anaroho ya paka kweli. Badala ya kuomba msamaha kwa kauli zake anatuletea wanawake hao hao aliowadhalilisha.
 
Mpaka Gary Johnson naye ame weigh in....😀😀

CuWbFt_VMAAlVvw.jpg:large
 
Huu uchaguzi umejaa uchafu. Ingekuwa inawezekana wote waondolewe wateuliwe wengine wapya. Sarakasi zimezidi.

Kwetu Africa, mavi ya kale hayanuki lakini katika mataifa ya magharibi, mavi ya kale yana harufu karibu sawa na ya leo. To be a politician in America, where the system is extremely unforgiving, one must have a very thick skin and a supernormal mental stability. Trump doesn't fit the bill. His temperament makes him his own worst enemy!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Wow....no shake of hands!

Is that a first in US presidential debate history......?
 
Back
Top Bottom