BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
- Thread starter
- #541
Mbogo aliyejeruhiwa huwa mkali sana. Hujaribu kumshambulia aliyemjeruhi kwa hasira nyingi na nguvu kubwa, bila kujua kwamba kufanya hivyo kunaweza kabisa kumsababishia kujeruhiwa zaidi. The first 20 minutes of this debate are very crucial for both candidates.
I think Hillary ndo ataanza kuulizwa swali.
Huyu Trump better be careful na cheche zake zisije mrudia, na hivi kajeruhiwa, atakuwa mbogo leo.