2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Mfa maji haishi kutapatapa, by the way wikileaks ' October surprise about Hillary is out but so far the reaction is very mild. Maybe it'll catch fire in coming days.

Na, chakushangaza Trump hata kamtaja kwenye apology statement yake, sijui Bill wa nini zaidi ya kupunguza uzito wa message yake ambayo ni most important for him in the middle of this storm.

Na kesho kwenye debate I bet he's going to yell Bill Clinton most part of it.
 
Mfa maji haishi kutapatapa, by the way wikileaks ' October surprise about Hillary is out but so far the reaction is very mild. Maybe it'll catch fire in coming days.

May be in the coming days, If, what's going on right now won't completely kill it.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
You're 110% right na pia idadi ya Republicans wanaomshinikiza Trump ajiondoe kama mgombea inazidi kuongezeka wa hivi karibuni ni Condoleeza Rice. Hata waongezeke kiasi gani huyu jamaa hatajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuingia WH.

Republicans heavyweights are distancing themselves from him left right and center.
Nimeona McCain nae nje.
Halafu jamaa kagoma ku drop out.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu kui na BAK kiaje?

Hii sasa ni battle na Trump atapigana hadi mwisho.

Majimbo yafuatayo yanaelezewa kwamba ndiyo yataamua nani anakuwa raisi:

Florida, Ohio, North Carolina, Pennsylvania, Virginia, Michigan, Wisconsin, New Hampshire na Iowa.
 
Huyo ndiye DT watapiga kelele wawezavyo, wamekumbuka shuka wakati kunakucha. Walistahili kumpiga vita huyu kwa nguvu zote mwanzoni kabisa kwenye primaries sasa imekula kwao.

Reactions: kui
Mkuu Richard majimbo yote hayo with exception ya hayo matatu ya mwisho ambayo sijaona opinion polls zake hivi karibuni Hillary anaongoza na baadhi anaongoza kwa double digits.

Wakuu kui na BAK kiaje?

Hii sasa ni battle na Trump atapigana hadi mwisho.

Majimbo yafuatayo yanaelezewa kwamba ndiyo yataamua nani anakuwa raisi:

Florida, Ohio, North Carolina, Pennsylvania, Virginia, Michigan, Wisconsin, New Hampshire na Iowa.
 
Wakuu kui na BAK kiaje?

Hii sasa ni battle na Trump atapigana hadi mwisho.

Majimbo yafuatayo yanaelezewa kwamba ndiyo yataamua nani anakuwa raisi:

Florida, Ohio, North Carolina, Pennsylvania, Virginia, Michigan, Wisconsin, New Hampshire na Iowa.

Pouwa Richard.

Lakini Hillary alirudi kuongoza kwenye polls after the first debate in most of them. Florida, Ohio, N.C, NH and I think Iowa.
Trump anapigana na hili zengwe kweli but the end doesn't look good for him.
 
Wakuu, kwa kifupi ni kwamba itakuwa ngumu sana Donald Trump kushinda huu uchaguzi khasa baada ya hii revelation ya 2005.

Opinion Polls zimeanguka sana kwa Trump na kama kui unavyosema kesho itakuwa ni ule msemo wa "liwalo na liwe".

Huyu ni Bill Clinton anarudi White House na kwa kuwa walimsaidia Obama kuingia pale kwa sasa Obama amemaliza kazi yake njia nyeupe.

Tuliona Bush Senior alirudi kupitia George junior na Democrats nao wanataka Bill arudi pale kukamilisha mipango yao na pia kutaka kuzuia uhusiano wa Trump na Putin.
 
Wakuu hivi Donald atahimili hili shinikizo la kuondoka ingawa anatia ngumu? Kwa kweli hii ya leo imeaibisha sana.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ninavyoona ile ya Bill ambayo Donald amekuwa anaitumia imekuwa haina nguvu tena. In all fairness Donald angekubali yaishe.
 
Nadhani na hii idadi ya wanaomshinikiza ajitoe inazidi kuwa kubwa kwa kutilia maanani kwamba uwezekano wa yeye kushinda ni finyu mno! Hivyo wanataka Mike Pence ndiye awe mgombea. Na baadhi wameshatoa kauli ya kupinga kumpa funds za GOP kugharamia kampeni yake katika hizi wiki nne zilizobaki.

Pouwa Richard.

Lakini Hillary alirudi kuongoza kwenye polls after the first debate in most of them. Florida, Ohio, N.C, NH and I think Iowa.
Trump anapigana na hili zengwe kweli but the end doesn't look good for him.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Huyo ndiye DT watapiga kelele wawezavyo, wamekumbuka shuka wakati kunakucha. Walistahili kumpiga vita huyu kwa nguvu zote mwanzoni kabisa kwenye primaries sasa imekula kwao.

Yani huku ndo kabsa, kukumbuka shuka wakati kumekucha.

Nadhani na hii idadi ya wanaomshinikiza ajitoe inazidi kuwa kubwa kwa kutilia maanani kwamba uwezekano wa yeye kushinda ni finyu mno! Hivyo wanataka Mike Pence ndiye awe mgombea. Na baadhi wameshatoa kauli ya kupinga kumpa funds za GOP kugharamia kampeni yake katika hizi wiki nne zilizobaki.

Halafu wanao ondoa support yao kwake wanaongezeka every passing moment.

Asee hii ya funds si ita muumiza sana? Anaongeza funds zake but still, I think he need their support too.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu hivi Donald atahimili hili shinikizo la kuondoka ingawa anatia ngumu? Kwa kweli hii ya leo imeaibisha sana.

Naona amegoma kabisa mkuu, Sidhani ataondoka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
That is very true Kui, it is impossible to push him out at the 11th hour.

Anaonekana kidume cha mbegu for not backing off but, he's taking the Rep. party down to the gutter with him.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Donald ametia ngumu mkuu. Halafu Jamaa anamatusi yale ya nguoni.

Acha tu mkuu, maneno yake haya ni mazito kiasi waandishi wakitaka kuyarusha inabidi watoe tahadhari in case kuna watoto karibu.
 
Back
Top Bottom