Anahitaji counselling haswa ili awe sawa.....naye katoa statements few hours ago, naye kwa kweli anatia huruma.
Anahitaji counselling haswa ili awe sawa.
Km ni hivyo, huyo mama akitaka amharibie na asahaulike anaweza kukoleza moto kwa kuibua hayo mambo. Uwiii jamaa ni jeuri ya mkwanja na dharau.
...labda watoto wake wamlazimishe akahudhurie lakini mwenyewe hawezi kuhudhuria kwa kujiona hana tatizo lolote lile. Nasikia mkewe wa kwanza aliwahi kudai jamaa alikuwa anamrape kwenye ndoa yao, lakini baada ya divorce na pesa ndefu walikubaliana yule mama asiseme chochote kuhusu yaliyojiri ndani ya ndoa yao. Na hadi hii leo yule mama hajasema lolote kuhusu yaliyojiri ndani ya ndoa yao.
Hillary should not dignify that scum and share the debate stage with him again tomorrow night.
I say no more debates.
Naombea wazifutilie mbali kabisa hizo zilizosalia.
Assumption:
......what if Jullian Assange resurfaces with a bombshell about Hillary and drop it like its hot? The so called October surprise
Don't you think it could reverse the polls?
They have already release some, but so far the reaction is very mild.
Who knows may be they are just buying some time to unleash another bombshell a week before election so that she won't have time to repair the damage
It could be let's say a sex tape. You never know with folks' lives in their basements
Hillary should not dignify that scum and share the debate stage with him again tomorrow night.
I say no more debates.
Naombea wazifutilie mbali kabisa hizo zilizosalia.
Do you pay attention to UK or China elections????You never know with Wikileaks, I am 110% sure that there is more to come between now and the last week before the election. I am crossing my fingers for Hillary to go through as the next POTUS.
How comes the entire planet pays attention and is currently keenly and anxiously following the U.S. Presidential election tena for months
How comes the same doesn't happen for China, UK or even Tanzania??
When was the last time you followed China's presidential election??????
Assumption:
......what if Jullian Assange resurfaces with a bombshell about Hillary and drop it like its hot? The so called October surprise
Don't you think it could reverse the polls?
Pamoja na yote haya sijui kama atabadilika huyu kitabia, labda wanae wamjie juu sana na kumwambia kwamba tabia zake zinawaaibisha na hivyo atafute wataalam wamsaidie.
Mkuu BAK ikifika wakati wa uchaguzi wa rais kule China usiache kuanzisha special thread Ya uchaguzi wa uchina
Uache kubagua
Hivi kule Mkuu nako kunakuwa na uchaguzi!? Uchaguzi ambao miaka nenda miaka rudi mshindi anajulikana hata kabla ya kuanza kupigwa kura. Na mshindi ni yule yule miaka yote. Mimi Mkuu nakuomba wewe uanzishe uzi huo kuhusiana na uchaguzi wa China na wengi watachangia.
Basi usisahau ikifika uchaguzi wa England, France na Russia