Thank God sikupata notification sooner ya ulichoandika, wewe na mwenzio Mag3 mnaojua international politics na maadili ya marekani, who won the presidential elections!? Wamarekani hawana bogus thinking capacity kama sisi wabongo ili uweze ku deal na political issues za marekani lazma uwe na critical thinking capacity yako binafsi na sio ambayo ipo influenced na mob psychology from media biasness iliyokuwa one sided. Wamarekani wanajua weakness za media zao ndo maana hawakufuata wanachoambia kwenye Media zao kuhusu Trump wamefuata there own research and findings binafsi hawakusubiri kutafuniwa kila kitu na kupewa kama sisi bongo. Habari zinakuwa copy and pasted kutoka media za marekani to us citizens na citizens tunachukua tunachopata from them kama solid information bila ku research sisi wenyewe. Ukitaka kupata information ya kitu sio tu kuhusu hii topic hata general lazma upate data kutoka both parties involved kwenye situation na sio upande mmoja ndo utoe conclusion.Huyo mtu ndio maana mimi nimeamua kum ignore! Nchi za wenzetu maadili yanawekwa mbele kabla ya kitu chchote kile!
Allahu A'lam (God almighty knows best)