2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Democrats lazima watahakikisha "get out the vote campaign" inakuwa na mafanikio makubwa ili kujihakikishia ushindi. Inawezekana wasipate watu wengi kama 2008 & 2012 lakini kama percentage itaanguka basi si kwa asilimia kubwa sana.
Mimi nadhani independents wengi kama mimi wamekuwa turned off kupita kifani.

Hao ndo nahisi wata sit out huu uchaguzi kwa sababu they have nothing to vote for.

Wataojitokeza no wale wafia vyama tu na hiyo zaidi naiona kwa Dems kuliko GOP.

Sidhani kabisa kama GOP wengi watajitokeza kwa sababu naamini walio wengi wana conscience njema ambayo haiwezi kuwaruhusu kumpigia kura huyo mwendawazimu.

Sasa kwanza sidhani hata wale wanae wa kike wanaweza kumpigia kura baba yao.

Baba gani yule.....he's an utter embarrassment to every decent human being.

Na hili suala sasa ni beyond party lines. It's about human decency.
 
Umeona eeh?

Bill na Donald ndo walewale tu.

Tofauti yao mmoja ni ana makelele mengi, bishoo, huku mwingine ni slick kama nyoka.

Na mmoja wao anaenda kuishi White House.

Na ni kweli. Hillary alishiriki sana kuwazima wanawake waliodhaliloshwa na mumewe.

Na hata uamuzi wa kubaki kwenye ndoa na Bill ni kwa sababu ya ambitions za urais tu.

Binafsi nilitaka sana Biden ndo awe nominee.

I like Joe.
Hata mie namkubali Biden. Sijui tu kwa nini hawakumpendekeza. Wakuu wanawake including myself tumedhalilishwa mno. Naona leo mama Trump hapakaliki. Itabidi awe peke yake ili akili imrudi maana atakuwa amechanganyikiwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hmmm! kama ukiisikia kauli hiyo unaweza kumnunia kwa kipindi kirefu. Baba anayejitambua anajua mipaka yake na kamwe hawezi kutoa kauli kama hii.

Kha, aisee!
I can't imagine my dad making statements to other people that am hot..
 
  • Thanks
Reactions: kui
Biden alikuwa agombee Mkuu lakini kifo cha first born wake kilimvuruga sana yeye na familia yake yote kwa kipindi kirefu. Nadhani hawakutegemea afariki hivyo kifo chake kiliwaathiri vibaya sana na mpaka wakati jamaa anakuja kupata ahueni ya msiba akaona it was too late kujiingiza kwenye kinyang'anyiro, lakini kwa maoni yangu alifanya makosa badi angeweza kushinda.

Hata mie namkubali Biden. Sijui tu kwa nini hawakumpendekeza. Wakuu wanawake including myself tumedhalilishwa mno. Naona leo mama Trump hapakaliki. Itabidi awe peke yake ili akili imrudi maana atakuwa amechanganyikiwa.
 
Mike Pence should just quit the ticket. He will win me over if he does.

This is about human decency. Human decency has nothing to do with politics.
WOW! this is getting out of hand for Trump, he should do something to save his face.
 
WOW! SMDH!

Donald Trump to Howard Stern: It's okay to call my daughter a 'piece of ass'

Mkuu BAK na wengine, hiyo ni tip of Iceberg, kuna more audio clips ambazo hazitaonyeshwa CNN TV.

Ila wameziweka kwenye CNN.com

Huu ndiyo mwisho wa Donald Trump na atamalizia hasira zake kwa Hillary Clinton kesho.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hmmm! kama ukiisikia kauli hiyo unaweza kumnunia kwa kipindi kirefu. Baba anayejitambua anajua mipaka yake na kamwe hawezi kutoa kauli kama hii.

Right, baba yeyote kuongea kuhusu physical appearance ya binti yake in that manner is not right, atakuwa kama anamvua nguo.
 
Alikuwa anatafuta soko la binti yake. Wampeleke aangaliwa. Naamini kabisa hayuko vizuri. Watoto, mke sijui watatokaje kwenye public.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Not only you but many Americans (Republicans, Democrats & Independents) who value human decency.

Mike Pence should just quit the ticket. He will win me over if he does.

This is about human decency. Human decency has nothing to do with politics.
 
Hillary should not dignify that scum and share the debate stage with him again tomorrow night.

I say no more debates.

Naombea wazifutilie mbali kabisa hizo zilizosalia.
 
Halafu huyo binti yake yuko very smart, sijui yuko katika hali gani sasa hivi. Namhurumia sana halafu anampenda mno baba yake na amemtetea mara nyingi sana.

Alikuwa anatafuta soko la binti yake. Wampeleke aangaliwa. Naamini kabisa hayuko vizuri. Watoto, mke sijui watatokaje kwenye public.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Right, baba yeyote kuongea kuhusu physical appearance ya binti yake in that manner is not right, atakuwa kama anamvua nguo.
Wakuu ashakumu si matusi lakini kwa alivyosema Donald sitashangaa km hakum binti yake. Si mmeshasikia baba wengine wanatest mabinti zao kwanza. Nasema nimeshasikia ila sijahakikisha.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Halafu huyo binti yake yuko very smart, sijui yuko katika hali gani sasa hivi. Namhurumia sana halafu anampenda mno baba yake na amemtetea mara nyingi sana.
Umenikumbusha Chelsea Clinton na dingi yake kipindi kile cha Monica Lewisnky

Hii midingi mingine hovyo kweli aisee.
 
Hata sijui Bill naye alikuwa anawaza nini mpaka akafanya aliyoyafanya, na mimi nilimwamini 100% aliposema mbele ya Camera, "I did not have sex with that woman" kumbe alikuwa anatuzuga tu pamoja na ile scandal kubwa lakini bado akashinda 1996.

Scandal ya Lewinsky ilikuwa ni 1998.

Baada ya uchaguzi wa 1996. La sivyo asingeshinda maana alidanganya wazi kabisa huku Hillary akiwa kasimama pembeni yake.

Lakini Bill licha ya ushenzi wake ni mstaarabu bana.

Pia sio mwehu kama huyu Trump.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu ashakumu si matusi lakini kwa alivyosema Donald sitashangaa km hakum binti yake. Si mmeshasikia baba wengine wanatest mabinti zao kwanza. Nasema nimeshasikia ila sijahakikisha.

Mahoza Trump mwenyewe anasababisha watu wafikirie hivi, na huwezi kujilaumu au kuwalaumu.

Kama mwanamke, siwezi hata kufikiria baba yangu kuongelea maumbile yangu yalivyo.
 
You're 110% right. Thanks for corrections.

Scandal ya Lewinsky ilikuwa ni 1998.

Baada ya uchaguzi wa 1996. La sivyo asingeshinda maana alidanganya wazi kabisa huku Hillary akiwa kasimama pembeni yake.

Lakini Bill licha ya ushenzi wake ni mstaarabu bana.

Pia sio mwehu kama huyu Trump.
 
Ni mzazi ambaye ana kasoro kubwa ya kiakili ndiye anaweza kufanya huu upumb.avu. Huyu jamaa hayuko sawa kichwani au labda utajiri wake unamtia wehu hivyo huropokaropoka kabla ya kutafakari athari ya kile anachoropoka.

Mahoza Trump mwenyewe anasababisha watu wafikirie hivi, na huwezi kujilaumu au kuwalaumu.

Kama mwanamke, siwezi hata kufikiria baba yangu kuongelea maumbile yangu yalivyo.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ni mzazi ambaye ana kasoro kubwa ya kiakili ndiye anaweza kufanya huu upumb.avu. Huyu jamaa hayuko sawa kichwani au labda utajiri wake unamtia wehu hivyo huropokaropoka kabla ya kutafakari athari ya kile anachoropoka.

Yaani Trump anajijua mwenyewe huko kichwani kwake kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom