2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Tuanze mchakato wa kwenda kuishi Mars mkuu,hakukaliki tena huku
hatari aseee hawa jamaa wote ni watu wa maamuzi magumu muda wote,na wazee wa amri....na watu wasiorudisha mguu nyuma wakienda wameenda tujiandae dunia ipo mikononi mwa watu wenye maamuzi magumu tujiandae kiugumu ugumu na sisi
 
President
59 electoral votes still available

Clinton
215
Trump
264

55 needed6 needed
270 to win

Mimi nilikuwa nawaambia watu Wamarekani ni binadamu tofauti msije kushangaa wakimchagua Donald Trump!
Siasa za Marekani ukizielewa wala haishangazi.

Mara nyingi Wamarekani huwa hawatoi mihula mitatu kwa chama kimoja madarakani.

Kwa hiyo binafsi sishangai sana....
 
Wana wa clintoni wanalia tu niliwahi kusema sijui kama marekani wako tayari kua na rais mwanamke na yanatokea hivi sasa na trump ameshashinda tayari
1478673901776.jpg
 
Kuna wengine wanashangilia eti ashinde DT aje awanyooshe madikteta na magaidi,wanachosahau ni kuwa watakaoumia zaidi ni watu baki kama wao.marekani anapokwenda kushambulia waarabu huko anaowaita magaidi,na kwa kuwa nchini kwao marekani wanakuwa wameweka ulinzi wa ziada...hao magaidi option rahisi kwao inakuwa ni kushambulia maslahi ya marekani popote duniani.....ndio hapo yatakapoibuka mashambulizi kama yale ya ubalozi wa marekani hapa tanzania na kenya.sasa ombea wahanga wa mashambulizi hayo wasiwe tegemezi yako kama wazazi etc maana kama itatokea wakawa wahanga ndio utaona maana halisi ya ushabiki wako.kwa dunia ya sasa sio muda wa kushabikia mtu anayetaka kupambana na kosa lolote lile kwa kutumia nguvu maana watu wa kufight back wanaongezeka sana sio kama zamani wa ndio mzee....neno lako ni sheria!!!
Asante
 
Back
Top Bottom