Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Watazikwa na maccm wenzaoJamani Msisahau kama tumefiwa!!
Watazikwa na maccm wenzaoJamani Msisahau kama tumefiwa!!
[HASHTAG]#ana[/HASHTAG] heshima kwenye utabiriHivi huyo tapeli TB Joshua ana heshima gani...?
Hawezi labda yule wa Zanzibar akatangaze matokeo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hali hii trump anaweza chukuaView attachment 431294
haka ka mungu kanataka wananchi tukaombeeWameondoa msaada kwa sababu kiongoz wetu ni mungu, sasa mungu anataka msaada WA wanini!
Africa ni wavivu sana ndiyo tatizo hasa Tz ndiyo maana anacho kifanya Magufuli tunamwona kama dictitor ndiyo maana Magufuli alishtuka mapema akasema tujitengemee!!! Trump akiingia whitehouse misaada itapigwa ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walaaah Zamda mimi,huku Magufuli,kule Trump,pembeni Vladmir..mbona tutanyooka jamaniii
Sasa hakuna kwa kukimbilia,kama namuona Mange akiuza vijora kariakoo[emoji38][emoji38][emoji38]
Tushalia lia na isis...na libya...na syria!!! That's more than enough...na hata kama tutalia basi iwe ni kilio kipya sio cha clinton tena!!!Wewe haya weee,usije kulialia baadae.
Tuombe uzima tu.
Trump hawezi kuja kufanya kitu Tz mkuu, zile ni mbwembwe tu za kampeni.Obama walikuwa wanalea sana magaidi... kwake yeye na wenzake alikuwa anaona tishio ni madikteta kuliko magaidi!
Mbona aljazeera na bbc hawatoi hizi data??Penn kura 99% zimehesabiwa. Trump anachukua na kufika 264. mambo yameisha hapa.