Upo right... labda ningesema Madikteta wa Kiarabu na sio Madikteta wote!Hata Madikteta alikuwa hashughuliki nao sawasawa.
Ngoja aje mbabe Trump awanyooshe Magaidi na Madikteta.
[HASHTAG]#Hadi[/HASHTAG] sasa kwnye majimbo takribani 49 [HASHTAG]#clinton[/HASHTAG] 215 anaitaji 55 na Trump raisi 244 bado 26 afikishe 270 na endapo Trump ATashinda basi ule utabiri wa #TB joshua aliosema mwanamke ndio atakaye kuwa raaisi basi atakuwa amejishushia heshima na imani kwa watu
[HASHTAG]#team[/HASHTAG] [HASHTAG]#trump2016[/HASHTAG]
Ngja aingie madarakani ndiyo utajua madiktekta na vyama vinavyo ngangania madaraka watapigwa vp!naomba kueleweshwa huyo trump atawanyoosha vp madikteta wa africa au watu wanaongea tu
Uyo alitabiri hvyo baada yakudanganywa na media zilizokuwa zimampamba bibi Clinton.akijadai kutabiri kinabii kumbe katabiri kulingana na yanayoandikwa kumpamba Clinton[HASHTAG]#Hadi[/HASHTAG] sasa kwnye majimbo takribani 49 [HASHTAG]#clinton[/HASHTAG] 215 anaitaji 55 na Trump raisi 244 bado 26 afikishe 270 na endapo Trump ATashinda basi ule utabiri wa #TB joshua aliosema mwanamke ndio atakaye kuwa raaisi basi atakuwa amejishushia heshima na imani kwa watu
[HASHTAG]#team[/HASHTAG] [HASHTAG]#trump2016[/HASHTAG]
Wewe haya weee,usije kulialia baadae.Yeah! Simpendi kutokana na aliyoyafanya kipindi ni Secretary of state..
Namuona kama ni part of the big global problems!! "Supremacy of the few elites"
Things have to change..
Watu wengi hawampendibkwa sababu anaongea live bila chenga!!"My whole life is about winning. I don't lose often. I almost never lose"-Donald Trump
mwache ashinde aje athibiti madicteta uchwara wa AFRICAHuyu bwana ana lengo la kuiimarisha marekani katika kila idara hasa uchumi.
Siioni tena alama ya matumaini kwa makampuni yanayochimba madini kuingiliwa katika mikataba yake hapa Tanzania. Magwangala hayatapatikana tena kwa kuwa huyu bwana kaamua.kusimamia maslahi ya marekani.
Kwa wale wenye ndoto za kwenda marekani,kuzamia,mwisho wao umefika.
kumbe kulikuwa na wagombea wengine ndio nimejua sasa hivi
Tangu lini USA wakawa marafiki na Russia?
Wameondoa msaada kwa sababu kiongoz wetu ni mungu, sasa mungu anataka msaada WA wanini!Nyani Ngabu tunaomba analysis yako, nini hitma ya Tanzania iwapo Trump akichukua nchi?
Tayari USA baby wameshatukatia msaada wa Millennium Challenge Goal pamoja na msaada wa madawa uliokuwa ukipitia USAID.