Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,471
- 29,930
Mashoga hawana hamu...Clinton sio ndio anatetea ushoga?
[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]
Mashoga hawana hamu...Clinton sio ndio anatetea ushoga?
[HASHTAG]#aisee[/HASHTAG]
sipendi matusi lakiniMkuu una kaugonjwa wewe..!
Oooopppsss that's so sweet of you.Alafu nilijua tu haya yatatokea that's why nimeweka uzi angalau upate faraja kidogo [emoji23] [emoji23]
Mda si mrefu nadhani mods watauweka public wako wanaupitia kwanza, si unajua taratibu za jukwaa la intelligence!
Polee [emoji17] [emoji4] [emoji38]
Hawa wabeba box wajiandae huko kuondokaUSEXIT !
Hakuna mkuu... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kura za maoni zimetofautiana kabisa na kura za halisi. Huko kuna twaweza?
Nilisema kama hivyo huko juu baadhi hawakunielewaNaona kama wa Marekani wameamua kumchagua Mtu jamii ya Magufuli
shit just get real nyani ngadu mwenzako nimeshaapaki mabegi yangu mapema nakushauri na ww katafute begi lakuondokea![]()
KwikwikwikwiTetesi: Huenda Kibibi kinajiandaa kukimbilia uhamishoni Qatar au UAE.
Hawa wanaojiita manabii watabiri ni hovyo kabisa....Alikuwa deceived na midia zinazombeba HC halafu anatoa utabiri uchwara akisema umetoka kwa Mungu?akishinda Hillary kwa mfano ungesikia "Maneno ya TB Joshua yatimia"....
Jecha yupo kwa wang'ang'ania madaraka tu...ila kwa wenye utimamu kichwani huwezi kusikia cheo cha Jecha.hivi huko kuna JECHAA
basi sio Mbibi tumuite Kibibi kama Kibibi Mange Kitambi...mnaniboa mnavyomwita mbibi...
Yaani ila,nilivyo na majonzi ungeniona ungeniachia tu [emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poleeeeeee ila una bahati, ningekupuna kilaki chako [emoji23] [emoji23]
Ila huyu ni mfanyabiashara, ni bepari hasa.Naona kama wa Marekani wameamua kumchagua Mtu jamii ya Magufuli
Mie sipendi ujinga basi tuu..![emoji41] [emoji41] [emoji41] Kwa mfano matusi yako wapi..???sipendi matusi lakini