Siasa za mafurikoHawa wanaojiita manabii watabiri ni hovyo kabisa....Alikuwa deceived na midia zinazombeba HC halafu anatoa utabiri uchwara akisema umetoka kwa Mungu?
Ona alivyoangukia pua kama kwa EL mwaka jana.
akishinda Hillary kwa mfano ungesikia "Maneno ya TB Joshua yatimia"....
Asante beste,yani acha tu.Pole umekua mugabe au museveni mana wao ucku kucha mpka mda huu wamekesha kwenye tv wanajua kiboko yao anakuja
Trust me.He won't be a good President because he is not politician.... Kutakua kuna vitu vinaleta shida kidogo
[emoji2] Ni kwel, Tb Joshua anaelekea kuumbuka.Hawa wanaojiita manabii watabiri ni hovyo kabisa....Alikuwa deceived na midia zinazombeba HC halafu anatoa utabiri uchwara akisema umetoka kwa Mungu?
Ona alivyoangukia pua kama kwa EL mwaka jana.
Yakheeee hakuna Lubuva wala jecha kuleeeeMarekani Lubuva wao CNN. Halafu
Clinton 190
Trump 172
Sasa huyo Lubuva wako sijui atakuwa Jecha??[emoji15]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]