2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Naomba mwenye link iliyo neutral aiweke hapa!maana nyingi za humu aidha ni pro-clinton au pro-trump!
 
Just in from BBC....Dah kweli kazi ipo

CwysXUIWEAAafmn.jpg
 
Hilo nalo ni kweli Mkuu ila ambao mara nyingo wako accurate ni CNN na mara nyingi husubiri ili kuhakikisha wanachokitangaza kiko accurate na siyo kuja kuomba samahani baadaye kwamba walikosea.
Ila kwa sasa naona karibu media nyingi zinaonesha Trump akiongoza....
 
Tayari fununu za exit polls zishaanza kuingia na Hillary yuko juu PA.
Trump yuko juu GA [so much for GA being in play], AZ, IA, NC, na OH.

Colorado, Florida, Michigan, na Nevada ni mchuano mkali...too close to call thus far.
Mkuu nyani muda wa kurudi umewadia...wazungu wanatawala nchi yao.
 
Back
Top Bottom