KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,364
- 6,264
ole soyinka mmoja waoKuna watu waliapa kuhama marekani trump akishinda kama nawaona wanavyojilaumu kwa kauli zao za mihemko!
ole soyinka mmoja waoKuna watu waliapa kuhama marekani trump akishinda kama nawaona wanavyojilaumu kwa kauli zao za mihemko!
He won't be a good President because he is not politician.... Kutakua kuna vitu vinaleta shida kidogoSahivi Marekani wanataka waongozwe na mzungu mwenzao mwenye sera za kibepari.
Bado siamini kama Trump atakuwa ka.a watu wanavyosema.
He'll make a good president.
[emoji23] [emoji23] kwani Leo hajatoa nyingineYule ni mpiga ramli tu kama kina Mwingira na Malisa...
Nadhan kazimia kabisa....Mpwa @p didy hali yako ikoje sasa.... tufahamishane unakohamia sasa
Aliongea hayo yeye kama nanitb joshua alisema atashinda clinton
[emoji102] naomba nikuoneHahaha, wewe, usiombe kuniona nimenuna.😀
Alafu nilijua tu haya yatatokea that's why nimeweka uzi angalau upate faraja kidogo [emoji23] [emoji23]Hizi The bold hujaamka tu?
Usinisemeshe tafadhali [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Clinton akishinda nakupa dada yangu....toss ur offer now[emoji23] [emoji23]Weka data Mkuu maswala ya huleeee badae
Mama huyu sio mtu ni mnafiki..muuaji na mtu hatari sana sana hana maanaHuyo mama sina hamu nae....damu ya Gadaffi inamlilia popote alipo
Yule mbibi si hashindi!![emoji4]kwanini????
Tofauti na matokeo aliyotoa Msanii TB yatakuwa batilitb joshua alisema atashinda clinton