Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,343
- 144,854
PA sasa Trump anaongoza...
Pole, ila wanawake wengi mnamshabikia huyo dada...sijui ni kwanini hamtaki kuungana nasiMi mwenyewe ningekua huko ningekua nalia saa hii lols
Sasa hapo tukimuuliza ule utabiri aliutoa wapi atatujibu vipi?kapiga mbizi kwenye kokoto...
hapa ndipo aungana na Kiranga moja kwa moja, hizi Dini bana kanjanja sana aysee
Acha uongo mkuu,kuwa serious ujue?Haya hayaaa DT 258 HC 261 imebadilikaaaaa ohooo!
Source: V.O.A
Usimfananishe Trump na vitu vya kijingaNaona kama wa Marekani wameamua kumchagua Mtu jamii ya Magufuli
Yupo Makini sana..Jamaa akifuatilia tokeo kwa ukaribu![]()
Uko sahihi kabisa.Trust me.
Kuwa rais wa marekani sio kama tanzania. Kule independent bodies zina nguvu sawa na rais.
kuna watu wanatamani kujichimbia ardhiniHatimaye Steve Wonder anaendesha gari...
MHRip Mogabe and Mosefeni
Hiyo kutamka kuhama ni kampeni tu "hawezi kuhama mtu"