Mi mwenyewe ningekua huko ningekua nalia saa hii lolsNY baadhi ya watu wanalia waliokuwa wanampenda Clinton
Pole umekua mugabe au museveni mana wao ucku kucha mpka mda huu wamekesha kwenye tv wanajua kiboko yao anakujaOooopppsss that's so sweet of you.
Asante my dear,yani niko na hali mbaya sana hapa.
Nimestack sijui la kufanya [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Ccm mmeanza unafki wenuNaona kama wa Marekani wameamua kumchagua Mtu jamii ya Magufuli
9 Celebrities Who Vow to Leave the U.S. if Trump WinsKuna watu waliapa kuhama marekani trump akishinda kama nawaona wanavyojilaumu kwa kauli zao za mihemko!
Hawa wanaojiita manabii watabiri ni hovyo kabisa....Alikuwa deceived na midia zinazombeba HC halafu anatoa utabiri uchwara akisema umetoka kwa Mungu?
Ona alivyoangukia pua kama kwa EL mwaka jana.
Georgia for trump, new Hampshire for trump, Michigan, Utah, North Carolina, Ohio, Arizona, Iowa, Wisconsin, Twendeeeeeeee!!
Kumbe utabiri wao mpaka waangalie media kwanza.....Kweli wajinga ndio waliwao...Hawa wanaojiita manabii watabiri ni hovyo kabisa....Alikuwa deceived na midia zinazombeba HC halafu anatoa utabiri uchwara akisema umetoka kwa Mungu?
Ona alivyoangukia pua kama kwa EL mwaka jana.