Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,512
- 772
Wakuu kama kuna fursa za kupiga hela kama trump atashinda tujuzane, na ss tukanunue hizo USlol! akiipindua Florida na kuitia kwenye kapu lake badi Dunia nzima itapiga makofi ya matumaini. Jamaa huyu ni hatari sana si kwa Marekani tu bali dunia nzima. Angalia stock markets zinavyoporomoka duniani.
'Bigger than Brexit': markets, US dollar plunge as Trump takes Florida – live