2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

upload_2016-11-9_7-25-9.png
 
Namshukuru Mungu na wamarekani ijapo mie siyo mmarekani lakini wametusaidia sana. Bado dunia hatujafikia wakati wa kuongozwa na mwanamke, sikuwa tayari na kweli limeshindikana kutokea.

Hongera D. Trumpt
Hongera ya nini?? Kwani Jecha kishatangaza mshindi??[emoji15] [emoji15]
 
Florida zimekwishahesabiwa majibu soon.

Hillary Clinton anatarajiwa kuchukua Virginia
 
Ni majanga Mkuu hasa Florida akitangazwa rasmi kashinda basi kachukua nchi hakuna jinsi Hillary atafikisha 270.
Florida tayari .....Watu wengi very influencial(hususani celebs wengi) walikuwa upande wa mama lakini ndio hivyo...Anyway ngoja tuone..
 
Trump alisema akishindwa hawezi kuiubali matokeo,teh..teh..naiona afrika ktk siasa zao.
 
hayo red yote yanaenda kwa Trump. game over.
GA 16, IOWA 6, MICHIGAN 16, NEVADA 6, NH 4 UTA 6, WASH 12, WISC 12 JUMLA 78 na ana hitaji 54.
 
Back
Top Bottom