fafanua tukuaminiMarekani Lubuva wao CNN. Halafu
Clinton 190
Trump 172
Sasa huyo Lubuva wako sijui atakuwa Jecha??[emoji15]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nguvu mojaFlorida kachukua Trump.
Idadi ya kura?Florida kachukua Trump.
Florida kachukua Trump.
Hahahahhh Hapana chezea wabongoKila kitu wanafahamu mpaka siasa za USA mpaka rais wa huko wanajua ni nani muda huu[emoji38]
Huo upuuzi uko bongo tu, nimeona jamaa wamevaa tishirt za trump ktk vituo vya kupigia kura,
Matokeo live... ikiwa bado majimbo 13
Trump 193
Clinton 197
29Idadi ya kura?
Upo nyuma sanaMpaka sasa Donald Trump ana kura za jumla 222 na Hillary Clinton 197
Nguvu moja