yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Si mda mrefu Lubuva wa Marekani atamtangaza rasmi Donald trump kumrithi wa Obama hii inatokana na jinsi gan mka muda huu Trump kumuacha kwa mbali sana Hillary licha ya kubaki sehemu chache ya matokeo ambayo hayawezi kubadilisha matokeo.
Trump 168 Hillary 106 matokeo ya wajumbe ambapo Trump amekiza wajumbe 102 ili atangazwe kwa wajumbe 270 huku Hillar akidaiwa wajumbe 164 kuchukua kiti kww wajumbe 270 kwa zilizo pending ni wazi Trump kashinda hasa matokeo ya Calfonia yakitoka