2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Forget mchuano Nevada, Colorado, Pennsylvania,Michigan ,Florida huko Trump kushinda anahitaji miracles,even North Carolina and Ohio itakuwa ngumu sana kwa Trump kushinda, Trump anaelekea kushindwa huu uchaguzi by landslide
Ashindwe vipi tens wakayi hadi sasa anaongoza anazo alama 264 anapungukiwa 6 ili afikishe 70 wakati huu Clinton anazo alama 215 anadaiwa 55,
 
Superpower country wangekuwa wanatutengemea kwenye misaada tusingeaangaika nao kufuatilia uchaguzi wait!!! Umejiuliza wale waangalizi wa kimataifa nao wameenda?? kusimamia uchanguzi
Unaenda kusimamia uchaguz ambao upo wazi, hakuna longolongo. Masaa 8 tu Rais anajulikana.
 
Siasa za waamerika huwa no ngum sana kuna watu wanahisi kua trump ataisaidia urusi hio haitawezekana kwa KGB kupenya ngome ya white house
 
Kwa kweli ningefurahi sana kama Tz ingekuwa na vyama viwili vikubwa vya upinzani, ukiboronga tu muhula wako watu uchaguzi ujao tunakutoa, na pia kuwa ma katiba nzuri ya kuwabama watu watakaokuja kukaa miaka 5 tu ma kujijengea mazingira ya kupata pesa!!
Ila tutafika tu.
Tatizo CHADEMA ni genge la matapeli wakiongozwa na DJ Mbowe.....
 
Kuna watu eti maisha magumu mkuu wetu alivyobana pesa imepotea, tunahisi akipata urais mjomba Trump atamwambia anko Magu hata kwa amri alegeze uzi kidogo[emoji1] [emoji1]
Tumekutana na huku... Mie macho kodooo nione marekani wanaamua nini
 
naona ule mpango wa kukaa mita 200 umeshindikana.!
Trump oyee.!!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nyuma ya pazia wamerekani hawakuwa tayar na mwanamke
Sio Marekani tu, ni dunia haiko tayari kwa mwanamke.
Sababu mojawapo ukitoa wenye nchi ya marekani wanaitaka nchi yao, kilichopo katikati ya inapokutana miguu ya HC kimemponza sana, niliona ktk Tv ya France 24 English, wanawake wa marekani walikuwa wanasema hawatamchagua HC sababu ni mwanamke na wao hawako tayari kuongozwa kwa hisia, wanataka mtu mwenye kufanya maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom