ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,019
- 7,223
Rais anatokana miongoni mwa wananchi. Huwezi kupata Rais bora kama huna wananchi bora.
Ndiyo maana mimi na kiswahili kiswahili na mimiwhat??write???
Right candidate ni yule ataekuwezesha utofautishe kati ya Right na write! Wenzio walipokuwa wanasoma we upo kwenye maandamano ya operation vitoweo haya ndo matokeo!