2015: Tunahitaji Rais mwenye UWEZO!

Sio muda mwafaka kwa watu kujadili mambo ya mgombea urais 2015 kama baadhi yetu tuaminivyo ila pia kwa wengine hakuna ubaaya wowote kutokana na mchango wa mtu kwenye maendeleo ya Taifa ustawi wa democrasia na jamii iliyokomaa kisiasa.

Kwa kuzingatia ukweli huo na kwa kuangalia mwelekeo wa siasa kwa sasa (cdm ndo washikilia uskani wa siasa) nchini mwetu,Je,kama cdm watatuletea mgombea gani endapo DR.Slaa (ninayemkubali kiukweli) atasema basi?
NB.Tukumbe qt ya S.6 kuwa hakuna watu wanaofaa kwa urais.

Je,tumtarajie nani? ZZK?,J.Myika?(
kama katiba itawaruhusu),T.Lissu ?,prof.Safari?
 
Right candidate ni yule ataekuwezesha utofautishe kati ya Right na write! Wenzio walipokuwa wanasoma we upo kwenye maandamano ya operation vitoweo haya ndo matokeo!
 
Right candidate ni yule ataekuwezesha utofautishe kati ya Right na write! Wenzio walipokuwa wanasoma we upo kwenye maandamano ya operation vitoweo haya ndo matokeo!

Mimi nilidhani labda anamaanisha write-in candidate:becky:.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom