Nilikutana na kijana ana drive hiyo honda maeneo ya kisutu nikavutiwa nayo sana C&F hadi Dar port almost mil 24Hiyo vezel mpaka ifike kwa mama samia hapa inasimama ngapi
Mwakani nimsuprise babydady
Hizo unazosema nyingi ni x-trail model hii ni x trail hybrid technology iko tofauti sana na hizo unazozionaHizi Nissan zipo nyingi, mitaa na barabara inapendeza kwa sasa.
Hapana mkuu milango yake ipo kama ya Nissan juke zoom kwa juu apo kuna lock ya kushika na kufungua.Hio honda mbona kama ni milango miwili hiv
Hizo gari mnazosema spare zinaharibika kila siku? Usidanganywe kuhusu parts ukihitaji unapata na hizo Honda zina roho ya paka sana mimi mwaka 2002 niliwahi leta Honda ballade ilikua automatic wapo waliosema spare wengine walisema ni gari ya kike kwa sababu ni auto na kipindi hicho gari nyingi zilikua manual nilishindwa kuuza nikaiacha home nipo SA walipoona inatumiwa mbaya wakata niwauzie nikagoma ile gari ilikuja kuuzwa 2010 nadhani...inategemeana na unapochukulia ila kwa gari zunazotoka SA ni ngumu balaa mpaka itake spare umeitumia kweli ila hapa sio kwa Discovery hizi nyingi unakuta wauzaji walishaanza kusumbuliwa na hiyo gari...hapa nazungumzia Ford,Honda,Vw,BMW,Tuccson,Nissan na Toyota za kaburu ambazo parts zake zipo tofauti na gari za Japan..Mnyama Honda hapo mchawi spare tu
Mkuu vipi fuel consumption?Kwa Fuel efficiency chukua Honda vezel ila kama unagopa spare chukua X-trail Hybrid mana spare zinaingiliana na model ya zile ambazo siyo Hybrid. Ukita kutest X-trail Hybrid nicheki uje uendeshe.
Mjini napata 18km/lMkuu vipi fuel consumption?
Basi iko vizuri sana. Mimi naenda Arusha na Rumion kwa 150K.Mjini napata 18km/l
High way kama 15km/l
Huwa naenda Arusha kwa laki moja zaidi ya km 500, nawaza tu siku ikizingua sijui nitaipeleka wapi.
Mkuu salama?Hizo gari mnazosema spare zinaharibika kila siku? Usidanganywe kuhusu parts ukihitaji unapata na hizo Honda zina roho ya paka sana mimi mwaka 2002 niliwahi leta Honda ballade ilikua automatic wapo waliosema spare wengine walisema ni gari ya kike kwa sababu ni auto na kipindi hicho gari nyingi zilikua manual nilishindwa kuuza nikaiacha home nipo SA walipoona inatumiwa mbaya wakata niwauzie nikagoma ile gari ilikuja kuuzwa 2010 nadhani...inategemeana na unapochukulia ila kwa gari zunazotoka SA ni ngumu balaa mpaka itake spare umeitumia kweli ila hapa sio kwa Discovery hizi nyingi unakuta wauzaji walishaanza kusumbuliwa na hiyo gari...hapa nazungumzia Ford,Honda,Vw,BMW,Tuccson,Nissan na Toyota za kaburu ambazo parts zake zipo tofauti na gari za Japan..