Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
1591792514747.png

BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII
Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari.

Stability zake, upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo mtu yeyote angependa kuyajua.Huyu jamaa yupo mkoani na amejaribu kuangalia aina hizo hazipo na yeye yupo interested nayo kwa kuwa ni 4DW kulingana na maeneo anayoishi anahitaji mkoko wa namna hiyo.

Kwa kuwa JF inakila aina ya uelewa kwa niaba yake naomba niwasilishe ili apate la kumsaidia kwenye hii issue nzima.
---
wana jamii wenzangu mimi ni mpenzi sana wa gari inaitwa subaru nataka kununua sasa nataka kujua kama spea zinapatikana hapa tanzania maana kila unaye muuliza anakuambia sio gari nzuri,au spea hakuna,utakufa nayo na mambo kama hayo naombeni msaada,SUBARU LEGACY TX<cc 2000 ENGINE BH 5
1592738124515.png

UFAFANUZI ULIOTOLEWA NA WADAU
Subaru forester SF5 engine edition, 2000cc; niliagiza moja mwaka jana from Japan nikaitumia for 6 months; ni gari nzuri sana kama bado iko mpya, ni imara na haisumbui sana; tofauti moja niliyo-note ni katika acceleration system yake (iko tofauti kidogo na toyota makes), pia inapoanza kuchoka au ukichelewa kuifanyia service huwa inachelewa kupokea mafuta kwa sekunde kadhaa wakati wa kuondoka, baada ya hapo huwa inakuwa shwari.

Pia ikichoka huwa ina matatizo ya kupokea moto (kuna kitu nilitajiwa nimesahau jina lake) ila hili ni tatizo dogo. Matatizo mengine ni ya kawaida kama gari nyingine yeyote ile (ball joints, tyroid ends - kama unatembelea kwenye rough roads). This car is Full Time 4WD na engine yake ina nguvu sana sana ukilinganisha na RAV4 au HONDA SRV!!

Spare zake kwa sasa ziko nyingi sana hapo mtaa wa Msimbazi (duka moja lipo karibu na Diamond Trust Bank hiyo ya Wahindi) ila ni genuine na za gharama sana kwa kweli (ulinganisha na toyota) hivyo mwambie jamaa ajiandae kwa hilo!! Wa-Kenya wana uzoefu nazo sana manake kwao zimejaa sana ... na almosts parts zote zapatika Nairobi na Dubai (na sasa Dar) ... actually nasikia kenya subaru cars ni nyingi kuliko toyota.

This car was my favourite kwa kweli nilipotaka ku-enjoy barabara na kutunishiana misuli na magari makubwa like Toyota VX, Nissan Patrols kwani Subaru Forester zinachanganya haraka sana na zinachomoka balaaa! At one instant nilitumia less than 1 minute kufika 140km/hr. Usipokuwa mwangalifu ni rahisi sana kuuonja umauti!!!!

Karibu ujaribu kitu tofauti.
---
I've owned this car for about 3 years now.. (yangu ni 2004 forester cross sport, turbocharged)
Ukweli I've had great runs na hii Gari na sijawahi kupata any major mechanical difficulties, other than oil change, shocks, (ambayo ni mambo ya kawaida sana.

Experience yangu na hii gari ni safari ndefu, Dar to mwanza, dar to arusha, dar to nairobi.. and I'm proud to say, I gave the V8s and the prados a fun for their money.

Kwenye swala zima la spare part zipo readily available.. hii ni tofauti na 3 4 years ago.. Ni kweli spare parts zake ni slightly expensive comparing to toyotas, Ila unakuwa assured Kwa spare genuine, na ambazo zitakaa mda mrefu.. (mfano utanunua spark plugs for 40,000 moja, Ila uhakika wa kukaa Kwa Muda say mwaka mzima, comparing Kwa gari nyingine ambayo utapata Kwa 15,000 Ila Kwa mwaka utabadili 3 or 4 times.. so you do the math.

Kwenye swala zima la fuel efficiency, well, let's just say inategemea wewe na matumizi yako.. (uendeshaji, speed etc) but for me, niliona kawaida tu.. u can't really be specific Kwenye swala la KM/L, so many factors, i.e. Foleni, ac etc..

My advice;
Forester is a good car.. Kama unavosema rafiki yako yupo mkoa I na anahitaji gari ambayo inaweza kumudu mikiki..

Thanks to its full time 4wd, and firm chassis, forester can handle it all.

Note;
Ni vizuri kuwa na good service history, make sure anafanya service on time... awe anatumia the required oils, (for turbocharged Ni vizuri kutumia synthetic oils), incase ya funny sounds on the engine, kuzikagua na kuhakikisha unarekebisha...

Other than that, it's worth every penny!

Subaru, Confidence in motion
---
kwa kifupi mi huwa nashaangaa wabongo ukimuliiizia kuhusu subaru utasikia hizo gar achana nazo zina gharama na zinakula wese... kama unagar ya Cc2000 na inakula wese hiyo mbovu haijalishi lakin ulaji wa subaru (nazungumzia Legacy nayoitumia) ni sawa na IST ya cc2000 ama TI,

Bro sijawah tumia forester ila mungu akinijalia nataka ninunue ya at least mwaka 2008 na kuendelea.. ila in general subaru ni gari ngumu mno, haijalishi ni impreza , forester ama legacy. mi nina legacy b4 Manual transmission na nimei abuse sana tu lakini bado iko order sana. na kama nikiendesha kiustaarabu napata 10km kwa lita, hapo Ac inakuwa sio all time, ila nikiendesha kibishoo kama vijana wa mjin (yaani full Ac na mbioo za kutosha) bas hapo naishia kwenye 6 - 7km kwa lita

kwenye high way huwa napata had 13km kwa lita

Kwa taarifa tu : Shockup za subaru zinarange kuanzia ( 250,000 - 350000) hapo bila kujali ni forester ama legacy subaru sifaham kuhusu impreza bei zake ila naamini haziachani mbali
so bei hiz za spea nilizoweka chini ni kwa forester na legacy
  • Air filter - 60,000 - 80,000
  • Stabilzer link - 70,000 - 120,000
  • Oil filter - 50,000 - 80,000
  • Wishbone bush - 120,000 - 180,000 ( zile zilizokaa kama Z) , kama unanunua bush yenyewe bila jumba la Z ni around 50,000
  • Subaru manual engine Oil (recommeded by Subaro OEM) - synthetic 05w30 (prefered brand castrol, Total, Mobil1
  • Subaru manual car Gear Oil (recommeded by Subaro OEM) - TAF - X 75W - 90, LT SAE 75W - 85, Both should be API GL - 4 ( brand ni same as above)

Hizo Engine oil nilizokutajia zinakupa from 10K - 20K milage kabla ya kumwaga na ndo recommended, kwa Gear oil ni around 10K. mi binafsi natumia castrol nanunuaga pale fire kituo cha Puma bei inacheza kwenye 150,000 had 200,000)

na gear oil bei inacheza around 60,00 had 90,000

KWA KIFUPI KAMA UTAMUDU HUO MCHANGANUO WA HAPO JUU BAS JUA HIYO GARI KUGUSA 300K MILAGE NI GUARANTEE ILA KAMA UTAWEKA OIL ZA ELFU KUMI SIJUI AROBAIN BAS HUVUKI 50K MILAGE, mchawi wa garI ni service na kuzingatia recomended oil, sio unakimbilia vya bei rahisI, na subaru Engine zako ziko very sensitive kwenye oil

BEI YA HIZO SPEA NILIZOTAJA NI KWA SPEA MPYA, KWA USED SPEA BEI INAKUWA AROUND NUSU YA BEI YA MPYA

LEGACY b4 (ya mwaka 2002)
---
Subaru ziko flexible na very comfortable sana barabarani hasa rough road utazipenda, natumia Subaru Forester LL Bean Edition iko vizuri sana, kuhusi consumption ya mafuta cc2000 nayotumia Mimi iko kawaida sana kumbuka gari zinatumia mafuta na sio mtori, Subaru zinahitaji service na sio uunge vifaa vya Toyota mfano,

filters lazima utumie za Subaru ili uwe safe zaidi, kikubwa ni viscosity ya oil kujua gari yako inayotumia mostlu subaru ikiyopita 10 years from manufacture inabidi utumie oil nzito yenye viscosity 15 or 20w5, ukipata ya miaka ya karibuni basi tumia iliyo nyepesi, Subaru ni symetrical AWD(All Wheel Drive) ambayo ni tofauti kidogo na 4WD,

AWD inakupa nguvu kwa tairi zote 4 ila kwa upande ambao unahitaji nguvu tu, inaweza kua side kwa side au upande wa tairi moja tu tofauti na 4WD ambayo inavuta mbele au nyuma haina side to side
---
Mimi namiliki subaru forester ya 2004 ni gari zuri sana na huwa napenda kusafiri nalo na wenye v8 hata siku moja hawajawahi kukaa mbele yangu na kwenye muinuko kwa subaru ni kama iko kwenye tambarare tu halafu kizuri ni all weather road iwe matope, mchanga yenyewe inapasua tu kwa kifupi ni gari yenye power sana na barabarani iko stable. Spea zake ndo huwa zina gharama kwa sababu ni genuine na ukiifunga utasahau na ni gari ambayo haina magonjwa ya ovyo ovyo.

Mimi fundi nikimuona labda ni kufanya service, au kubadili plugs. Shokapu na bush nilizibadili 2013 lakini hadi leo bado nzima yaan kwa kifupi ni gari ambalo halina magonjwa cha muhimu service kwa wakati na ufunge filters original za subaru ya gearbox na engine kwa kweli hutajuta kumiliki subaru. Kuhusu mafuta ni utumiaji wako tu kama unapenda kukimbia sana kwa kweli lazima mafuta yakutoke.

Pia nilishamiliki subaru impreza hivyo kwa swali lolote kuhusu subaru forester au impreza niulize nitakujibu kiufasaha kwa sababu ni magari niliyoyatumia lakini nisiulizwe kuhusu Legacy kwa kuwa sijawahi kukaa nayo niliwahi kuiendesha tu mara moja kwa hiyo kwa kifupi Legacy sizijui [HASHTAG]#0718170751[/HASHTAG]
---
I've owned this car for about 3 years now.. (yangu ni 2004 forester cross sport, turbocharged)
Ukweli I've had great runs na hii Gari na sijawahi kupata any major mechanical difficulties, other than oil change, shocks, (ambayo ni mambo ya kawaida sana.

Experience yangu na hii gari ni safari ndefu, Dar to mwanza, dar to arusha, dar to nairobi.. and I'm proud to say, I gave the V8s and the prados a fun for their money.

Kwenye swala zima la spare part zipo readily available.. hii ni tofauti na 3 4 years ago.. Ni kweli spare parts zake ni slightly expensive comparing to toyotas, Ila unakuwa assured Kwa spare genuine, na ambazo zitakaa mda mrefu.. (mfano utanunua spark plugs for 40,000 moja, Ila uhakika wa kukaa Kwa Muda say mwaka mzima, comparing Kwa gari nyingine ambayo utapata Kwa 15,000 Ila Kwa mwaka utabadili 3 or 4 times.. so you do the math.

Kwenye swala zima la fuel efficiency, well, let's just say inategemea wewe na matumizi yako.. (uendeshaji, speed etc) but for me, niliona kawaida tu.. u can't really be specific Kwenye swala la KM/L, so many factors, i.e. Foleni, ac etc..

My advice;
Forester is a good car.. Kama unavosema rafiki yako yupo mkoa I na anahitaji gari ambayo inaweza kumudu mikiki..

Thanks to its full time 4wd, and firm chassis, forester can handle it all.

Note;
Ni vizuri kuwa na good service history, make sure anafanya service on time... awe anatumia the required oils, (for turbocharged Ni vizuri kutumia synthetic oils), incase ya funny sounds on the engine, kuzikagua na kuhakikisha unarekebisha.

Other than that, it's worth every penny!

Subaru, Confidence in motion
---
Subaru ziko flexible na very comfortable sana barabarani hasa rough road utazipenda, natumia Subaru Forester LL Bean Edition iko vizuri sana, kuhusi consumption ya mafuta cc2000 nayotumia Mimi iko kawaida sana kumbuka gari zinatumia mafuta na sio mtori, Subaru zinahitaji service na sio uunge vifaa vya Toyota mfano,

filters lazima utumie za Subaru ili uwe safe zaidi, kikubwa ni viscosity ya oil kujua gari yako inayotumia mostlu subaru ikiyopita 10 years from manufacture inabidi utumie oil nzito yenye viscosity 15 or 20w5, ukipata ya miaka ya karibuni basi tumia iliyo nyepesi, Subaru ni symetrical AWD(All Wheel Drive) ambayo ni tofauti kidogo na 4WD,

AWD inakupa nguvu kwa tairi zote 4 ila kwa upande ambao unahitaji nguvu tu, inaweza kua side kwa side au upande wa tairi moja tu tofauti na 4WD ambayo inavuta mbele au nyuma haina side to side
 
issue siyo kiwango mkuu yeye anachotaka kujua is the secrecy behind that kwamba ina ubora gani basi na mara nyingi huwa insumbua nini kama tunavyokuwa tunasikia kuhusu Surf;Mitsubish10i, Saloon car kwenye kunywa mafuta inaongoza nk

Subaru forester SF5 engine edition, 2000cc; niliagiza moja mwaka jana from Japan nikaitumia for 6 months; ni gari nzuri sana kama bado iko mpya, ni imara na haisumbui sana; tofauti moja niliyo-note ni katika acceleration system yake (iko tofauti kidogo na toyota makes), pia inapoanza kuchoka au ukichelewa kuifanyia service huwa inachelewa kupokea mafuta kwa sekunde kadhaa wakati wa kuondoka, baada ya hapo huwa inakuwa shwari. Pia ikichoka huwa ina matatizo ya kupokea moto (kuna kitu nilitajiwa nimesahau jina lake) ila hili ni tatizo dogo. Matatizo mengine ni ya kawaida kama gari nyingine yeyote ile (ball joints, tyroid ends - kama unatembelea kwenye rough roads). This car is Full Time 4WD na engine yake ina nguvu sana sana ukilinganisha na RAV4 au HONDA SRV!!

Spare zake kwa sasa ziko nyingi sana hapo mtaa wa Msimbazi (duka moja lipo karibu na Diamond Trust Bank hiyo ya Wahindi) ila ni genuine na za gharama sana kwa kweli (ulinganisha na toyota) hivyo mwambie jamaa ajiandae kwa hilo!! Wa-Kenya wana uzoefu nazo sana manake kwao zimejaa sana ... na almosts parts zote zapatika Nairobi na Dubai (na sasa Dar) ... actually nasikia kenya subaru cars ni nyingi kuliko toyota.

This car was my favourite kwa kweli nilipotaka ku-enjoy barabara na kutunishiana misuli na magari makubwa like Toyota VX, Nissan Patrols kwani Subaru Forester zinachanganya haraka sana na zinachomoka balaaa! At one instant nilitumia less than 1 minute kufika 140km/hr. Usipokuwa mwangalifu ni rahisi sana kuuonja umauti!!!!

Karibu ujaribu kitu tofauti.
 
Subaru forester SF5 engine edition, 2000cc; niliagiza moja mwaka jana from Japan nikaitumia for 6 months; ni gari nzuri sana kama bado iko mpya..

Mkuu nashukuru kwa ushauri ambao kwa kweli umeelezea uzoefu wako najua gharama za spare zake zitakuwa sawa na za Suzuki kama baadhi ya watu wasemavyo.

Mkuu kwa nini uliamua kuuiza baada ya miezi sita?
 
Subaru forester SF5 engine edition, 2000cc; niliagiza moja mwaka jana from Japan nikaitumia for 6 months; ni gari nzuri sana kama bado iko mpya, ni imara na haisumbui sana; tofauti moja niliyo-note ni katika acceleration system yake (iko tofauti kidogo na toyota makes), pia inapoanza kuchoka au ukichelewa kuifanyia service huwa inachelewa kupokea mafuta kwa sekunde kadhaa wakati wa kuondoka,

Mkuu nimecheka sana. Kuna siku nilikua naelekea Iringa nikitokea dar niko na Rav4. jamaa alikua na hii gari (subaru forester) nilijaribu kumtunishia misuli. Nilibaki kusoma No. tu.
Nimeukubali kweli inatembea mkuu
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri ambao kwa kweli umeelezea uzoefu wako najua gharama za spare zake zitakuwa sawa na za Suzuki kama baadhi ya watu wasemavyo.

Mkuu kwa nini uliamua kuuiza baada ya miezi sita?

Rafiki yangu mmoja wa mkoani aliipenda sana sana ... nikaamua kumuuzia. Lakini ukweli pia ni kwamba nina kaugonjwa ka-magari ... huwa sipendi kukaa na gari muda mrefu ... nikikaa nayo sana ni miezi 12 tu!!
 
Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari.
Stability zake,upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo mtu yeyote angependa kuyajua.Huyu jamaa yupo mkoani na amejaribu kuangalia aina hizo hazipo na yeye yupo interested nayo kwa kuwa ni 4DW kulingana na maeneo anayoishi anahitaji mkoko wa namna hiyo.

Kwa kuwa JF inakila aina ya uelewa kwa niaba yake naomba niwasilishe ili apate la kumsaidia kwenye hii issue nzima.

Subaru's are for people who love cars, people who understand the beauty of perfomance.may be the reason kenyans buy more subarus than we do here in TZ-kenyans are ahead of us education wise and development wise.

I suggest you buy that car and you will never be dissapointed!kuna watu wako tayari kununua Toyota kwa sababu spea bei rahisi,what is the use of a cheap spare part if you need to change it every 3 months?

kwa wanamahesabu,ipi rahisi over time?15,000tshs spare that u will buy 4 times a year or a 35,000tshs that you will buy only once a year?go figure.

anyways,watanzania wachache sana wanapiga hesabu in long term figures,no wonder tuko tayari kununua saa feki 10 kila mwaka for 20,000 lakini ukimwambia mtu atumie 200,000 kununua saa original atakayokaa nayo miaka 10 unakuwa ugomvi.
 
wana jamii wenzangu mimi ni mpenzi sana wa gari inaitwa subaru nataka kununua sasa nataka kujua kama spea zinapatikana hapa tanzania maana kila unaye muuliza anakuambia sio gari nzuri,au spea hakuna,utakufa nayo na mambo kama hayo naombeni msaada,SUBARU LEGACY TX<cc 2000 ENGINE BH 5
 
subaru ni gari nzuri sana,imara na unaweza kutumia ktk motor sports etc.
1-Disadvantage zipo chache sana in East Africa,hivyo basi spares zinaletwa kidogo na bei inakuwa kubwa.
2-Mafundi wa subaru wako wachache ,sababu ni kama hapo juu
3-jiandae kuwa mteja special ktk maduka ya spare na mafundi

ni hayo tu
 
kaka kama unataka kununua subaru..nunua..usiwasiklize sana wabongo watakukatisha tamaa..shida ni kuwa wameshazoea toyota kwa hiyo wengi akili zao zimeganda.

ukishakuwa na subaru akili yako itachangamka na bila shaka utajua ni wapi na kivipi upate spare za bei nafuu!

all the best mkuu..niko nyuma yako lakini mimi napenda zaidi subaru forrester, 4WD with turbo engine
 
Mimi namiliki subaru forester, mwaka wa nne sasa haijanisumbua, kwa sasa spare zipo nyingi, unaweza kuzipata msimbazi street kuna duka lipo opposite na msimbazi eyes center na pembeni yake kuna akiba commercial bank au used spare kuna duka ilala.
 
Back
Top Bottom