Graduate anaandika nilinusulika dahHuu mwaka sitausahau pale mlimani.
Washikaji zetu ,Christopher mbusule, Lusako ,Ndunguru na wengine wengi tu walipoteza chuo.
Mlimani city ilikuwa jumba la maficho . Tulikimbia tukajificha kwenye maduka. Wale jamaa walikuja na hasira kama za simba wakitutafuta.
Poleni sana washikaji wote mliopoteza chuo kipindi Hicho. Harakati zenu zilifanyika neema kwa wengine.
Mungu bado anatupigania . Siku zimepita na maisha yanaendelea.
Yule jamaa alikuwa ni hatari sana.Nilichojifunza kwenye wengi poana mengi. Wewe unaweza ukawa unafikiri kua lengo lenu ni moja ila kumbe miongoni mwenu kuna watu wana maelngo tofauti kabisa na maovu. Kusema kweli mgomo wa 2011 ulikua wa mwisho na sidhani kama itakaa kutokea mgomo mwingine tena kwenye vyuo vikuu.
Vijana walifanikiwa kwa asilimia mia moja kwenye mgomo ule japo furaha iligeuka msiba baada ya kusherehekea ushindi kwa kutaka kwenda kutoa kipigo kwa viongozi wa serikali ya wanafunzi (DARUSO) ambapo ilikuja kutafsiriwa kama jaribio la kutaka kupindua serikali ya wanafunzi.
Wakati mwingine najiuliza kama wale wanaosomea uandishi wa habari (Mass communication) matukio kama yale hawawezi hata kuyaandalia habari kwa kina na kuja na kitabu au makala zinazoelezea kwa kina kiini cha tatizo na masimulizi mpaka ilivyoisha na hasara au faida zilizopatikana.
Ila yote kumi tisa yule jamaa aliyejiita alshabab alikua mtu wa tofauti sana (Charismatic leader) kwa waliokuwepo mitaa ya chuo na kufatilia kiundani jamaa alijaliwa uwezo wa kushawishi watu.
jina lake lilikua halifahamiki kwa hiyo hata utawala walipata shida sana kumdhibiti mana hawajui ni nani wala anasoma kozi gani, alisumbua sana.
Dah nmetokaa mpk machozi kipindi hikii hali ilikuwa tete mno, tumefka tu chuo 2010, tukamkuta Ally Hapi (chuoni alijulkana kama Salum) mwanaharakati akatuaminisha kuwa yeye ni Mpinzani anampinga rais (Kipara) ambaye alitajwa kama mwana CCM kumbe mchumia tumbo Salum Sijui Hapi nilikuwa namuona ndumilakuwilii mnoo, mwisho wa siku kwa usaliti alioufanya alikimbia Chuoo manake raia walkuwa na Hasira nae Vibayaa ila tanzania wasaliti ni wengi mno, nakumbuka baada ya wanaharakati wengi kufukuzwa ndo wale viongozi wa Daruso namkumbuka mbusule ambae alikuwa Speaker walivosimama kututetea wakatemwa pia ila mule mule Daruso walikuwemo machizi, basii wanafunzi wakajiweka pembeni, akaibuka Ndunguru jamaa alkuwa na mwilii mkubwa, Hoja nzito nae akakamatwaa ndo akatokea Alshabaab...Huyu jamaa alkuwa Kichwa, Organiser mzurii Mno, aaaah nmemkumbka Alshabiib haaa Kizazi cha Kuhojii kilishiaa hapaa UDSM....Huyo huyo Ndunguru akafika revolution square pale, akaanza kutema hoja baada ya muda watu wakajaa, jamaa yuko peku peku anaongea balaa. Kilichokua kinasisimua zaidi ni hoja zilivyokua zinatolewa. Baada ya Ndunguru na wengine kukamatwa sasa ndio chuma Alshabab kilipoamka sasa,, akaanza peke yake ku mobilize watu na kuhubiri. The guy will make a very good politician sijui yuko wapi siku hizi.
Ndo huo lakini baadae alkujaa kuendleaa Akafukuzwaa tena akiwa mwaka wa Pili baada ya Muda mlefuu kupitaaHuu ndo mgomo uliomuondoa Alphonce Lusakok...!!????
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Yani alianza upya afu akafukuzwa tena why????Ndo huo lakini baadae alkujaa kuendleaa Akafukuzwaa tena akiwa mwaka wa Pili baada ya Muda mlefuu kupitaa
[emoji3][emoji3][emoji3]Anataka tuharibiane weekend tu,na watu kama hawa unakuta katika familia ya watu 9 pekee ndo angalau amefika hatua fulani ya shule,Sasa namna anavyowapelekesha ndugu zake huko analeta JF
Daah aisee maharage yenyewe yalikuwa mazuri au yaleyale ya kwetu?Kweli kabisa.. nakumbuka mwaka 2008 njaa ilisababisha tukagawiwa chai na maharage Kama dinner kisa shule haikuwa na unga wa kupika ugali...
Ilikuwa shida sana..
Yes, mimi namkumbuka Mwita jina la kwanza alikuwa anaitwa Rich kama sikoseiNdiyo yule pia alimzingua Dr Kawambwa alipokuja pale chini ya shuttle point kusikiliza hoja za wanafunzi,tukaishiwa kupigwa mabomu.......Kumbukumbu kama zipo sawa ni Mwita
Serikali ndio ilikuwa haijawalipa, kwa wananchi pesa ilikuwepoMbona bavicha wanasema kipindi cha jk maisha yalikuwa rahisi sana na pesa bwerere tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah udsm ilikuwa raha enzi zile, nakumbuka tukiwa lekicha na msaidizi wa mkandala Dr kessi,siku hiyo Prof hakuja pale Theatre one wakamvamia Kessi,daah akaanza kuomba kwa kuwaambia mimi siyo Mkandala.Ndo Lekicha ikaishia hapo
[emoji3][emoji3] kwenda zako. Hata hivyo mimi sihusiki hapo...huyo mdau aliyesema aliingia udsm 2010 labda ndio akuamkieMuwe mnatuamkia wakubwa zenu humu[emoji134][emoji134][emoji134]
Nafananisha na KIDONGO CHEKUNDU palivogeuzwa uwanja wa Michezo!Revolution Square siku hizi wametia senyenge pale huwezi hata kupanda juu
Kumbe JF tunachat na watoto makinda/mlenda wenye kunukia maziwa bado
Teh watu wa Jf bwana, hivi ukisema ukadirie mtu aliyeingia chuo 2010 utampa miaka mingapi? Ukikuta under 30 basi ni wale ambao waliwahi kuingia shuleKumbe JF tunachat na watoto makinda/mlenda wenye kunukia maziwa bado
[emoji3][emoji3][emoji3] hivi kupajua mtwara ndio ujanja?sasa watoto ni waki nani wewe umesha pata mafao yako kikokotoo NSSF.kuona jua sio kuona mengi inawezekana hata mtwara upajui.basi waache waleta uzi watuburudishe
Marhabaa, nimesoma UDSM 1993-1997 iliyokuwa Faculty of Engineering shahada ya kwanza
Kusema kweli ule ujinga siwezi fanya tena kipindi kile nilikua na misimamo ya kipuuzi sana,mwisho wa siku nimekuja kusoma chuo kingine bila mkopo na mzigo wote nikawabebesha wazazi wangu
Ila rev square ni jukwaa ambalo ulitakiwa liendelezwe hadi kesho