2002- - - 2013 oooooooh ndoa yangu

2002- - - 2013 oooooooh ndoa yangu

kaka, naomba utulie sana, na wakati huu umuombe Mungu kuliko kipindi chochote ulichowahi kuomba katika maisha yako. Si siku nyingi nilileta uzi humu, wa kuwasisistiza watu kutokukatisha maisha sababu ya penzi. Kwa lugha nyepesi, maisha yako yana thamani sana mbele za Mungu kuliko unachokiwaza sasa. Na jifunze kuona kuwa mke wako amemkosea Mungu na siyo wewe, hivyo Mungu atamsamehe, na wewe unapaswa pia kumsamehe! Please nakuomba umsamehe mke wako, na ujismehe pia! Ni ngumu, lakini pia inawezekana!

ushauri wa maana huu mi wa kwangu nilimuona mtakatifu sana sikumoja nikanunua line mpya nikajifanya wrong nomber nikabadilisha sauti sikuamini nichoshuhudia alikubali kunipa full love tukapanga apointment akafika kwenye miadi nikashuhudia kwa macho yangu.... dah sikuhizi ndivyo walivyo nmemvumilia nukajifanya cjui na maisha yanaendelea wee mpuuze tu samehe yaishe ndoa sio mchezo nikuvumilia hatayasiyovumilika utaacha wangapi?
 
Swali kwa wanaume wanaochangia humu kua amwache mkewe jee nyinyi niwasafi???hamjawai wasaliti wake zenu???au arobaini yenu haijafika???pole sana kaka.

Mimi ni mwanamume na nina muda wa kutosha kwenye ndoa...zaidi ya muongo mmoja...

Hakuna mtu anaweza kusimama akaimba kwamba yeye ni msafi sana...

Ila makosa na dharau za huyo mama akama alivyosema mleta mada ndiyo zinatufikisha kwenye hilo hitimisho...

Kama mwanamke alishindwa kucheat responsibly kama wanavyofanya wenzake kibao, basi huyo hana haja tena na ndoa..

I will say this again and again.....Na hata mimi nikifikia hapo, nastahili hukumu kama hiyo..

Babu DC!!
 
ushauri wa maana huu mi wa kwangu nilimuona mtakatifu sana sikumoja nikanunua line mpya nikajifanya wrong nomber nikabadilisha sauti sikuamini nichoshuhudia alikubali kunipa full love tukapanga apointment akafika kwenye miadi nikashuhudia kwa macho yangu.... dah sikuhizi ndivyo walivyo nmemvumilia nukajifanya cjui na maisha yanaendelea wee mpuuze tu samehe yaishe ndoa sio mchezo nikuvumilia hatayasiyovumilika utaacha wangapi?

Kwa hiyo akimsamehe ataacha mchezo wa kuchat na bwana wake mbele ya mume?

Nahisi kuna watu wako tayari kuvumilia uchafu....

Siwezi kufanya upuuzi kama huo na siko tayari kuuvumilia...

Kama nimemchoka basi nampa talaka naanza upya...the same applies to her!!

Babu DC!!
 
Shida hawa wanawake wamegeuka kuwa hatari sana naona rafiki zangu wengi wanachekacheka tu najua tayari heri we umekuwa wazi mpe condition au katiba ndani ndo dawa
 
Wanawake wote hawa inalia haa we mwanaume gani chukua maamuzi ukimegewa nawe unatafuta wa kummegea
 
Jamani nimpe kwanza huyu bro wangu pole, pole sana kaka yangu, kiukweli mimi sijaoa na nlikua natafuta mke wa kuoa hata huku jf nlipost thread ya kumtafuta mke, kama mambo ndo haya natangaza rasmi sitaki kuoa tena na wala waliokua wananiPM wasiniPM tena sitaki sitaki nimesema jamaniiiiiiiiiiiiiiiii.

pole na wewe pia, ila sio wote wapo hivo. Ukijingiza pabaya utazoa mabaya. mungu atakusaidia utapata mke mwema husikate tamaa kabisa
 
Kama trust hakuna tena, jus ruuun while u can! atakupa pressure na kufa siku si zako. huo ni mwanzo tu.
waite washenga na wazazi, toa msimamo. your way or the hardway.
. i can feel ur pain!
 
...Hizo pongezi ukute mwanadada amejituma na kujipinda style zote ambazo zingine hata mumewe huwa hazigusi kabisa!!balaA!!!!wanaume bazazi wanaulizia na ile kitu ingine haramu wanajifunzia huko au wanaendeleza .....binti akizoea ndio kwisha!
 
Jambo muhimu la kufanya ni kama ifuatavyo. Kwa kuwa sasa upo nyumbani na umejifungia ndani unaweza kuchukua maamuzi mabaya ambayo yanaweza kukugharimu baadae. Hivyo kwa ushauri kwa sasa ondoka hm kama mi mkristo nenda kanisani na ukitoka huko pita sehemu jichanganye na jamaa zako. Hii itakusaidia kupunguza jazba. Baadae tafuta muda muafaka uketi na mkeo uzungumze naye huku ukimuonyesha ushahidi wote unaodhirisha uchafu wake anaoufanya. Hakikisha unatumia busara zaid na ongea naye kwa upole huku ukimueleza umuhimu wa ndoa yenu kwa faida yenu na watoto wenu hasa ukizingatia hali ilivyo sasa. Akiomba msamaha umsamehe mkeo. Ndoa yako ni kitu cha thamani sana. Pia omba Mungu akujalie subira katika kipindi hiki kigumu unachopitia.
 
.... sony wega, Last seen 15th June, 2013

....Kaka kimyaa, upo hai?
Pole sana kaka.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha unahisi ali-roast in pieces? Saa hizi atakuwa keshapata mnyonge wake wa kummegea hana stress na haihitaji jf, stuka!

......mnh? King'asti, kimya kingi kina mshindo! ujue post yake huku akilia ndio ilikuwa ya mwisho jf?

....mpaka huyu kaka aje atupe updates, otherwise.... Kama alitumia "fursa," basi saa hii yupo either;

1. Lupango kwa kesi ya kuua/jaribio la kuua...au

2. Mafichoni, kwa kesi ya kuua/jaribio la kuua,....au

3. Futi sita ardhini, Resting in Peace.
 
Last edited by a moderator:
mi nakushauri kwa hatua aliyofikia mkeo imesababishwa na hofu na upole wako.ww ni kichwa inaonekana mkeo anasauti ndani ya nyumba kuliko ww ni mbaya sana.Toka humo chumban vaa uanaume mwambie aende huko anaponaniliwa tena mwesabie dakika,then kaka wazazi wake wapo karibu waite wambie aende kwa huyo bwana na cm usimpe kwa ajili ya ushahidi.mwache akutane na maisha kwanza na ukute ww ndo unamlisha hata huyo mwizi wako.kakosa umweleze kiupole unajua wanawake walivyo wasanii sana sana atabadili stile ya mawasiliano tu mwisho wa cku mnaishia kufa na ukimwi.
 
Unapaswa kufahamu kuwa furaha na maisha yako ndio kitu cha muhimu kuliko huyo mke na pia kuliko wanao! Hao wanao nao watakuja kuishi maisha yao, Usikubali kuji pretend kuwa unafuraha katika ndoa wakati hauna! Achana na mkeo! Waeleze ndugu zake na zako pia kuhusu vitendo vyake ili usionekane muongo! Baada ya hapo kaishi Maisha yako, huwezi jua mungu amekupangia nini katika future yako!
 
mmh lkn kwel ndg love doesnt forced!!
 
mi nakushauri kwa hatua aliyofikia mkeo imesababishwa na hofu na upole wako.ww ni kichwa inaonekana mkeo anasauti ndani ya nyumba kuliko ww ni mbaya sana.Toka humo chumban vaa uanaume mwambie aende huko anaponaniliwa tena mwesabie dakika,then kaka wazazi wake wapo karibu waite wambie aende kwa huyo bwana na cm usimpe kwa ajili ya ushahidi.mwache akutane na maisha kwanza na ukute ww ndo unamlisha hata huyo mwizi wako.kakosa umweleze kiupole unajua wanawake walivyo wasanii sana sana atabadili stile ya mawasiliano tu mwisho wa cku mnaishia kufa na ukimwi.
"Imenenwa pia, mtu akimwacha mkewe na ampe talaka. Isipokuwa mimi nawaambia, kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa sababu ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini (Mathayo 5:31-32). Mkuu mimi nakuunga mkono, huyu Mwanamke hafai.......nanukuu kauli ya mchangiaji hapo juu "Cheat responsibly", yeye alishindwa? tupa kule anza upya
 
Ndugu yangu fanya jambo1kwanza muulize kisha jibu atakalo kupa linaweza kukupa jibu rahisi maana uwezi sema unamsamehe wakati hajakiri kosa lake 2 unajuaje kama mkeo hataki tena kuwa nawe? Muulize kwanza au kama utakuwa na hasira muite msimamizi wa ndoa ili aongee nae
 
it hurts ila SEPA! Kwani ulizaliwa nae na utakufa nae? Na hio familia unayofikiri utaitunza kweli itadumu kwa furaha wakati ww unajua unamegewa?
By the way inawezekana tunamshauri mtu wakati tayari hayupo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom