Msamehe tu jamani, shetani atakuwa alimpitia. Toka huko ulikojifungia kwanza. Usiongee nae ukiwa na hasira. Ila kama hujawahi kumcheat toka mna-date hadi leo usimsamehe.
hapo mkuu mbona kama unahalalsha makosa? Ina maana amsamehe il aendelee kusaltiwa co! Me bnafc kwenye swala la usalt cna msamaha ulmwengu wenyewe huu wa maradh kbao thn amsamehe wtt waje kubak yatma.
yaani watu mnamaneno ya hekimaa,,daaa ila inataka moyo wangukaka, naomba utulie sana, na wakati huu umuombe Mungu kuliko kipindi chochote ulichowahi kuomba katika maisha yako. Si siku nyingi nilileta uzi humu, wa kuwasisistiza watu kutokukatisha maisha sababu ya penzi. Kwa lugha nyepesi, maisha yako yana thamani sana mbele za Mungu kuliko unachokiwaza sasa. Na jifunze kuona kuwa mke wako amemkosea Mungu na siyo wewe, hivyo Mungu atamsamehe, na wewe unapaswa pia kumsamehe! Please nakuomba umsamehe mke wako, na ujismehe pia! Ni ngumu, lakini pia inawezekana!
Inauma sana tena sana, kusalitiwa ni kuucharangwa moyo, Mungu tusamehe kw haya makosa, nakushauri ndugu yangu, tuliza moyo, kumbuka watoto, chakufanya chukua hatua kwa wachungaji, kama hataki au hakubali basi mwambie aamue yeye kwani hatma ya watoto iko mikononi mwa Mungu atawatunza tu.Habari wakuu mm ni mzima wa afya ila naandika uzi huu nikiwa na akili nyingine sio ile impendezayo mungu na kama ntakosea basi naomba mnisamehe , nadhani nilishawahi kuleta tatizo langu humu jamvini kuhusu mambo au mwenendo wa ndoa yangu na nikapata ushauri na wengine kukejeli bila kujali ni madhara gani ntakuja kupata ila mm lengo langu lilikuwa sio kuacha au kuharibu ndoa yangu kwani naipenda familia yangu na vile vile humu jf ni sehemu nyingine yakufaham mambo amabayo huyajui kwani kuna watu wanaweza kukupa ushauri na kufanikisha kile ambacha kina kusibu , sasa basi mm nilikuwa na tatizo la cm ya wife kuwa bize sana ktk text ya ujumbe mfupi na vile huwa cm haikai mezani au kuweka kama mm ninavyo weka cm yangu ila yake mda wote nikirudi kazini iko bize sana yani labda azime nikaja kuomba ushauri hapa kuwa cm ya wife ni nikia C3 nataka kujua au mtu anipe utalam wakujua text zote alizo kuwa anatumiwa ili nimjue anaye haribu ndoa yangu kweli nilipata ushauri na wengine kunibeza ila leo asubuhi nimeona sms ikisema kuwa ' asante bby jana umenifuhisha sana kwa penzi lako ' na ukichek jana kweli alirudi home saa 2 usiku akiwa hoi na kusema amechelewa usafiri kwa hiyo ametembea kwa mguu sasa now hakuna tena amani na cm ninayo mm na niko chumbani kwangu nimejifungia na tafakari hatma ya ndoa yangu na cm nimepiga amepokea mwanaume kwahiyo naombeni ushauri wakuu pleace pleace familia yangu inaanagamia nnawatoto wawili jamani na huyu mwanamke amenichefua sana jamaani hapa sija,mwambia ndugu yeyote na lia kwa uchungu sna
pole sana kaka, hayo ndio maisha ya ndoa, utakutana na mengi zaidi we acha tu...mi najua hali unayopitia sasa hivi kwani na mimi yalishawahi kunikuta hayo...yaani mtu unakuwa km upo katikati ya kifo na uhai..kwa kweli machungu ya kuchitiwa na mume/mke ni makubwa kuliko kufiwa...kwa yaliyomkuta anajua maana ya ninachosema...
kabla sijakushauri ningependa kukuuliza kama ww ulishawahi kumcheat mkeo? na je yeye mkeo aligundua hilo? nauliza hivi kwa sbb sis wanawake tulio kwny ndoa mara nyingi tunacheat baada ya kusalitiwa na waume zetu.....inakuwa km revenge hivi...yaani hata kama alikusamehe na ilipita miaka mingi toka ww umcheat ni rahisi sana na yeye kuja kukucheat baadae...
lkn kama una hakika hujawahi kumcheat kabisa tangu umemuoa, basi huyo hakufai(japo waweza msamehe) lkn posibility ya yy kuendelea na huyo hawara yake ni kubwa....atakachofanya ni kubadilisha tu staili ili asikamatwe tena...
ila km uliwahi kumcheat basi msamehe na muendelee kulea watoto, kwani kile kilichokufanya ww umcheat ndicho kilichomfanya na yy akucheat..