Sharp Observer
Member
- Apr 11, 2011
- 59
- 41
Mzee usiogope ni tatizo dogo. Naomba ufanye yafuatayo!
- Kama una gari, pumzika kuendesha maana kichwa chako hakiko sawa
- Mtafute rafiki yako wa karibu ila msiri, wa kupiga naye story, akupunguzie mawazo, hapa simaanisho demu.
- Kama una vipesa kidogo, ondoka hapo nyumbani wala usiage, kakae japo hata guest unayoweza kumudu, kama hotelini huwezi.
- Hata ukiweza kukaa mwezi mmoja si mbaya. Katika muda huo usitafute demu
- Hii itakupa muda wa kutafakari kama uendelee naye ama umwache.
- Kama unaendelea naye, uwe tayari kusamehe toka moyoni na usiyakumbuke tena
- Kama unampiga chini, UWE UNAMAANISHA, usianze kulia lia tena kwamba unamtaka.