2002- - - 2013 oooooooh ndoa yangu

2002- - - 2013 oooooooh ndoa yangu

Habari wakuu mm ni mzima wa afya ila naandika uzi huu nikiwa na akili nyingine sio ile impendezayo mungu na kama ntakosea basi naomba mnisamehe , nadhani nilishawahi kuleta tatizo langu humu jamvini kuhusu mambo au mwenendo wa ndoa yangu na nikapata ushauri na wengine kukejeli bila kujali ni madhara gani ntakuja kupata ila mm lengo langu lilikuwa sio kuacha au kuharibu ndoa yangu kwani naipenda familia yangu na vile vile humu jf ni sehemu nyingine yakufaham mambo amabayo huyajui kwani kuna watu wanaweza kukupa ushauri na kufanikisha kile ambacha kina kusibu.

Mr.rudi nyuma kifikra kabla hamjaoana;
1:alikuwa na tabia gani,je ulikuwa unamtilia shaka kwa mienendo yake

2:Simu yake kuwa busy mda mwingi ilianza lini na imedumu kwa mda gani

3:Suala la simu yake kuwa busy muda mwingi ulishawahi ongea naye kuhusu hilo tatizo na alisemaje...

4:Je huwa mnagombana mara kwa mara kwa mambo yasiyo ya msingi sana?

5:Huwa anakiri makosa anapofanya kosa,na je kama anakiri huwa anarudia kufanya kosa lilelile

6:Kwa unavyoona unasauti ya kifedha kwake au anakusikiliza na kutenda kila lilo jema unalomwambia bila bughudha.

7:Kuna dalili yoyote ya kukufanyia dharau hadharani au kwa kificho?

8:Kama simu yake ipo busy kiasi hicho,je unaweza kufikiri mna-share mapenzi zaidi ya watu 2?

9:Je unajali family yako zaidi,ukiachilia huyo mwanamke uliye naye?

10:Je huwezi kupata mwanamke mwingine ambaye mtaishi kwa amani ukiachilia huyo uliye naye sasa,ambaye atakuheshim wewe na family yako?????

11:Ulishawahi kum-cheat akagundua.

Ushauri:

Tafuta secret yoyote kutoka kwake iwe ya siku nyingi ambayo hujawahi muuliza au ya karibuni....muulize akikataa kata kata....UJUE NI MLIPUKO HUO,UKIKAA NAO KARIBU WAKATI SIO MWANAJESHI NA HUJUI NAMNA YA KUUTEGUA USIITE MAJIRANI UATAKAPOJERUHIWA...

Ukiweza,replay for my qn
 
Pole sana! Ongea na mkeo may b anasababu, Muulize anamalengo gan n ndoa yenu, But dont 4get kuna Ukimwi n maradhi mengine
 
Japo sjaoa ila maumivu yananikaba shingoni kama mimi ndo natendewa haya....eh Mungu tupe msamaha wako na utuegnanishe na laana katika maisha yetu......kwa upande wangu mimi binafsi siwezi kuvumilia nitakachofanya nitaandaa makao sehemu ya mbali na kuwachukua watoto nimwachie mji aishi kama anavyotaka...tena wakati unaondoka unamiaga kwa heri ya kuonana nilikupenda lakini ngono imekupenda zaidi....
 
Habari wakuu mm ni mzima wa afya ila naandika uzi huu nikiwa na akili nyingine sio ile impendezayo mungu na kama ntakosea basi naomba mnisamehe , nadhani nilishawahi kuleta tatizo langu humu jamvini kuhusu mambo au mwenendo wa ndoa yangu na nikapata ushauri na wengine kukejeli bila kujali ni madhara gani ntakuja kupata ila mm lengo langu lilikuwa sio kuacha au kuharibu ndoa yangu kwani naipenda familia

Mr.rudi nyuma kifikra kabla hamjaoana;
1:alikuwa na tabia gani,je ulikuwa unamtilia shaka kwa mienendo yake

2:Simu yake kuwa busy mda mwingi ilianza lini na imedumu kwa mda gani

3:Suala la simu yake kuwa busy muda mwingi ulishawahi ongea naye kuhusu hilo tatizo na alisemaje...

4:Je huwa mnagombana mara kwa mara kwa mambo yasiyo ya msingi sana?

5:Huwa anakiri makosa anapofanya kosa,na je kama anakiri huwa anarudia kufanya kosa lilelile

6:Kwa unavyoona unasauti ya kifedha kwake au anakusikiliza na kutenda kila lilo jema unalomwambia bila bughudha.

7:Kuna dalili yoyote ya kukufanyia dharau hadharani au kwa kificho?

8:Kama simu yake ipo busy kiasi hicho,je unaweza kufikiri mna-share mapenzi zaidi ya watu 2?

9:Je unajali family yako zaidi,ukiachilia huyo mwanamke uliye naye?

10:Je huwezi kupata mwanamke mwingine ambaye mtaishi kwa amani ukiachilia huyo uliye naye sasa,ambaye atakuheshim wewe na family yako?????

11:Ulishawahi kum-cheat akagundua.
 
dah pole sana,ndoa yako ina mda gani?kama ina miaka mingi jarb kuangalia wapi mlipokosea mpaka akaamua kufanya hicho kitendo ila kama ni changa uachane nae kaoe mke mwingine atakayekupenda kiukwel na anayejua thaman ya ndoa na familia, inawezekana ulikurupuka kumuoa na hakua wife material kama ulivyofikiria
 
Mkuu pole sana najaribu kujivika uhusika yaani kama angekua mume wangu kafanya hivyo leo hii ningefanyaje. Hapa inabidi nikupe ushauri wa kujenga na sio wa kubomoa. Narudia tena pole kaka tena pole sana . Unachoweza kufanya jaribu kutulia kwanza hasira zipungue au kuisha kaisha ukiwa huna hasira kaa na mkeo uongee nae na uonyeshe hizo message . Msisitize akiri ukweli wa hizo message, akisema ukweli muulize tena je yeye anaona mfanye nini juu ya ndoa yenu, nini sababu inayomfanya aende huko nje hapa sisitiza akupe sababu . Akiomba msamaha mlazimishe ampigie cm huyo bwana mbele yako na amwambi umeshawabamba kisha sikiliza huyo bwana atasemaje. Naomba sana umsamehe for the sake of kids kama ataomba msamaha na kama kosa atarudia basi utajua nini cha kufanya wakati huo.Muulize anafikiria nini kuhusu ukimwi, kaswende n.k , je amedhamiria kukuua . Msiache kwenda kupima. Please msamehe
 
Mkuu pole sana najaribu kujivika uhusika yaani kama angekua mume wangu kafanya hivyo leo hii ningefanyaje. Hapa inabidi nikupe ushauri wa kujenga na sio wa kubomoa. Narudia tena pole kaka tena pole sana . Unachoweza kufanya jaribu kutulia kwanza hasira zipungue au kuisha kaisha ukiwa huna hasira kaa na mkeo uongee nae na uonyeshe hizo message . Msisitize akiri ukweli wa hizo message, akisema ukweli muulize tena je yeye anaona mfanye nini juu ya ndoa yenu, nini sababu inayomfanya aende huko nje hapa sisitiza akupe sababu . Akiomba msamaha mlazimishe ampigie cm huyo bwana mbele yako na amwambi umeshawabamba kisha sikiliza huyo bwana atasemaje. Naomba sana umsamehe for the sake of kids kama ataomba msamaha na kama kosa atarudia basi utajua nini cha kufanya wakati huo.Muulize anafikiria nini kuhusu ukimwi, kaswende n.k , je amedhamiria kukuua . Msiache kwenda kupima. Please msamehe

Na kama akigundua anachofuata huko nje ni mtandao wa kabaang! afanyeje na yeye ameshazoea?
 
Na kama akigundua anachofuata huko nje ni mtandao wa kabaang! afanyeje na yeye ameshazoea?
Hapo itakua poa manake atajua mkewe anafanya nini na itakua vizuri sana akijua kama anatoa tigo ili amwache aende zake maana inasemekana mtoa tigo huwa haachi.
 
Inasikitisha na kuumiza sana, pole mkubwa!
Huu ni ugonjwa sugu kwenye jamii yetu, watu hawajali tena, kuvua ch. upi limekuwa jambo la kawaida sana, tumezidi kuhalalisha uovu na hatumuogopi Mungu tena. Mtu akishaanza kufanya hivyo hana hofu ya Mungu, hatuogopi maradhi wala hatuheshimu ndoa zetu kabisa, najaribu kulivaa koti lako ila sipati picha, mbona mnatupa wasiwasi sisi tulio nje?
Ni wakati wako kumuomba Mungu, akupe hekima na busara, usiwe na hasira. Jaribu kukaa nae umuulize kwa upendo, kuna tatizo gani? Mbona ameamua kusaliti upendo wako?
 
kaka, naomba utulie sana, na wakati huu umuombe Mungu kuliko kipindi chochote ulichowahi kuomba katika maisha yako. Si siku nyingi nilileta uzi humu, wa kuwasisistiza watu kutokukatisha maisha sababu ya penzi. Kwa lugha nyepesi, maisha yako yana thamani sana mbele za Mungu kuliko unachokiwaza sasa. Na jifunze kuona kuwa mke wako amemkosea Mungu na siyo wewe, hivyo Mungu atamsamehe, na wewe unapaswa pia kumsamehe! Please nakuomba umsamehe mke wako, na ujismehe pia! Ni ngumu, lakini pia inawezekana!

hapo mkuu mbona kama unahalalsha makosa? Ina maana amsamehe il aendelee kusaltiwa co! Me bnafc kwenye swala la usalt cna msamaha ulmwengu wenyewe huu wa maradh kbao thn amsamehe wtt waje kubak yatma.
 
Kwanza kabisa calm down....
Hakuna maumivu makali kama ya kusalitiwa.

Jitulize kwanza na simu usimpe.
Kaa nayo hadi jioni (hapa inabidi uwe na kifua)

Then jioni tokeni out wewe na yeye tu sehemu tulivu ila yenye wAtu ( kukuepusha kufanya jambo la kujutia)
Kuleni chekeni...
Then muulize "fulani ni nani?????" Usikize jibu
Halafu muulize amekosa nini kwAko hadi akucheat?????
Then mwonyeshe evidence....

Mbane kisawasawa akikiri na kuomba msamaha mpe sheria na kanuni zako........ Na mwambie yupo kwenye probation....

Pole sana
 
Hahaha pipo bana mnamwuliza jamaa maswali meeengi utadhani kwa hali aliyonayo (kama kweli yametokea) aweza wajibu, ndoa ni life tmy commitment wengi wanaingia ndoani bila kuwa tayari psychologicaly,mentally wanakuwa tayari physicaly2 matokeo yake ndo haya ni bora kuwa single kuliko kujicommit kwa mtu ambaye huko mbeleni utamletea maumivu na majuto
 
Usimwambie mtu juu ya jambo hili...maana uhusiano wa mke na mume una nguvu sana,unaweza kuamua kumrudia...halafu walimwengu wakaanza kukusengenya!!Hata Mungu Mwenyezi aliyetuumba ana "wivu" pia,na amesema ktk maandiko yake "Mimi ni Mungu wa wivu,usiabudu au kusujudia Miungu wengine"....Tafakari
 
duh usiweke mitego mingi kwa wife wako wakati ukijua huwezi kureact,pole sana aiseh mwambie ukweli kuwa umefahamu mienendo yake akijutia kosa lake msamehe mlee watoto wenu...........dunia si salama kabisa yatupasa tuenende kwa akili na nidhamu.
 
Dah pole xana Mkuu!
Thinks about these:
1- jee anayoyafanya umemchangia kwa kiasi fulani or not; eg: 1 day ulimchit, anakutel baadhi ya vi2 unapotezea etc.
2- jee mke wako ni rafiki yako; coz there some guys are spouses but not frnd, this will help ur agreement without coersion. If not ur frnd, send a case 2 his guardians.
3- jee bado unampenda;
4- jee unawapenda watoto; (hii ndio ya msingi zaidi ikidipend na 3 za juu) si kweli kama unapenda watoto ni lazima wakae na dad na mum pa1, xometimes ni bora kwa watoto hata kukaa kwa bibi kuliko mam and dad pa1. Watoto hawajifunzi bt hukopi na kupest thus why mazingira humuathiri zaidi mtoto. Ask urself how watoto wako watapata malezi bora, NB: malezi bora sio kula 2.
5- jee kuna ulazima wa kuachana na mkeo; utaditamin hiyo issue kwa kujiuliza, jee mkeo kakubali kosa na kutubu, if ndio warns her and hawara wake. If asipoconfess huyo si wakuishi naye.
6- whether kuna uwezekano wa kupata mwengine ambae hatakuchit na kukubali kuish na watoto wako kwa upendo;
Am hereby to submit! Just mtazamo
 
Msamehe tu jamani, shetani atakuwa alimpitia. Toka huko ulikojifungia kwanza. Usiongee nae ukiwa na hasira. Ila kama hujawahi kumcheat toka mna-date hadi leo usimsamehe.

Kweli, kama amewah kucheat hata kama mkewe hajui, atafute namna sahih ya kumuadhbu mkewe kisaikolojia, then warudi waendelee na maisha. Bt ni ngumu sana kuendelea kuish na msaliti kama hujawahi kumsaliti!
 
du pole sana,kwanza usijifungie ndani peke yako inaweza kukupa mawazo mabaya zaidi na kusababisha ukachukua uamuzi mbaya,kwa sasa toka nenda sehemu yenye watu wengi u chill peke yako au na watoto wako huku mkila na kunywa na kunywa na simu usimrudishie kwanza just izime tuu mana unaweza kumbana na sms nyingine tena za ajabu.

kama ni mkazi wa dar nenda hata kule beach ka chill peke yako au nenda na watoto wako ili kupoteza mawazo na huyo mkeo usiongee naye leo mana bado una hasira usije pata murder case ukashindwa kulea kids wako wakati ye ni mtu mzima anajua nini anafanya na umekutana nae akiwa mtu mzima.

Najua inauma lakini mtu kama kakosa adabu unamwacha na kumpa muda wa kutafakari upumbavu wake mana hata huyo anaye date naye sidhan kama atamuoa kama we ukimwacha.Hivyo katika maamuzi yako yote utakayoyachukua weka kipaumbele kwa watoto wako halafu huyo mwehu mweke nyuma ili uwe rational.
 
Features Lists
1. Backup and Restore
Back up your mobile data online and restore it anytime
Access backup data online from anywhere

2. SIM Change Alert
Receive an automatic SIM change notification/alert along with new SIM number and GPS coordinate.

3. Locate Your Mobile
· Send SMS to receive current location of the target phone.
· Plot the location of mobile on Map
· Locate the target phone by triangulation technology if it does not have internal GPS. vous pouvez connaître la position du téléphone cible avec une précision de 5 à 10m grâce aux coordonnées (Latitude, longitude) de votre téléphone cible envoyées par Global GSM Control. you can know the position of the target phone to an accuracy of 5 to 10 meters

4. Read SMS & Call Logs
· Receive duplicate copies of lost mobile's call logs, and incoming and outgoing SMS.
· You can see the history of all calls and get the contact name in the address.

5. Hidden call back
· Send SMS to target phone and receive an automatic call handset, and listen to the surrounding sounds and conversations
· Cette fonctionnalité vous permet d'effectuer un appel espion vers le téléphone cible (sur lequel le logiciel espion Global GSM Control est installé) afin d'écouter l'environnement du téléphone cible. This feature allows you to spy a call to the target phone to listen to the environment of the target phone. Il ne s'agit pas de l'interception d'appel en direct mais simplement de rendre votre téléphone comme un dispositif d'écoute (conversations dans une salle, une chambre…This is not the interception of live call but simply to make your phone as a listening device.

6. Lock Mobile Remotely
Lock the keypad and other functioning of mobile from web or via SMS

7. Wipe Personal Data
Protect mobile data from falling into wrong hands
Wipe contacts, SMS, logs and gallery from web or via SMS

8. Play Siren
Remotely play the siren of stolen mobile to embarrass thief

9. Un-install Protection
Protect Your Application From Uninstall.
Device Auto-Lock if Application Un-install.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom