Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,828
Mngoni unatetea ushoga hii ni ajabu sanaKumbe Dudu ni Anco kitamboo.
Woiiiih 😂😂😂😂
Mngoni unatetea ushoga hii ni ajabu sanaKumbe Dudu ni Anco kitamboo.
Woiiiih 😂😂😂😂
Wakati Wa Magufuli ana deal na Manji ilionekana kama vile anafanya kitu kipya.Kumbe kulipiziana ni kawaida kwenye politiksi eeh
Kifo cha Dr Juma Omar Juma kilikuwa ni mipango ya Ben 10?Mkuu mambo ni mengi! Kilicho mlostisha mwarabu jamaa alikuwa anapiga dili zakuwauzia mafuta waasi wa kongo akishirikiana na makamo wa ben! Baada ya kabila kustukia mchezo alimweleza ben. Ben alimwita makamo wake akamweleza uchafu wake anao fanya na pia anaipaka nchi matope. Baada ya siku chache makamo wake alifariki na misukosuko ya mwarabu ilianzia hapo.
Waligombania kipato cha upambe toka kwa huyo tajiri na si vingenevyo kama unavyotaka tuamini.Kwa akili zile aachie nn zaidi ya wazungu napo hajaachiwa hata ya kununua deto
Tangu lini mwanaume mwenye akili timamu akawa mpambe wa mwanaume mwingine??Waligombania kipato cha upambe toka kwa huyo tajiri na si vingenevyo kama unavyotaka tuamini.
Mie nachoka kwa kweli. 😂😂😂Tangu lini mwanaume mwenye akili timamu akawa mpambe wa mwanaume mwingine??
Tena ifikie mnapigania kisa hela ya mwanaume mwingine??
Hawakuwa na nguvu za kufanya kazi??
Mpaka kupigana walihitaji kumilikiwa full stop cc cocastic BICHWA KOMWE
Muzik haukumlipa mpk apiganie hela ya mwanaume mwingine and seriously anakuja kuongelea upumbavuuMie nachoka kwa kweli. 😂😂😂
😹😹 Barabou wa Moro town tena..!!
Kwanini Matajiri wengi wa Kiarabu hapa Bongo ni Mashoga???Waligombania kipato cha upambe toka kwa huyo tajiri na si vingenevyo kama unavyotaka tuamini.
Mimi sielewi kuhusu their sex orientation. Wewe umewezaje kujua kwamba wengi ni mashoga?Kwanini Matajiri wengi wa Kiarabu hapa Bongo ni Mashoga???
Nyuma ya pazia inawezekana ni mkakati wakutangaza hizo tabia kwa jamii.naona ujumbe wa Mamba umekasirisha wengi mpaka mnaamuakuyafukuamakaburi ambayo hamna uhakika na kilichomo.Dudu Baya angekuwa analiwa asingekuwa na ujasiri wa kuwawashia moto waliwaji...kijana LINDA MGONGO
Hizi mambo za wasanii kufokolewa vyemba kumbe haijaanza leoYeye alikuwa anakula wasanii tu, anawatoa marinda
Kidogo changu mimi nawe ,kikubwa cha barabuu ,mali zao zifanye upagawe na kuniweka roho juu.Sisi wahenga tunaukumbuka vizuri ugomvi wa mwaka 2001 wa Mr.nice na konki..dudu baya walipokuwa na ugomvi mkubwa ikitajwa walikuwa wakimgombe tajiri maarufu..barbou wa mji kasoro bahari..
Nani anaukumbuka ugomvi huu?nini ilikuwa chanzo?mwenye data atiririke.
Mpambe maana yake niniTangu lini mwanaume mwenye akili timamu akawa mpambe wa mwanaume mwingine??
Tena ifikie mnapigania kisa hela ya mwanaume mwingine??
Hawakuwa na nguvu za kufanya kazi??
Mpaka kupigana walihitaji kumilikiwa full stop cc cocastic BICHWA KOMWE
Kitambo sanaHizi mambo za wasanii kufokolewa vyemba kumbe haijaanza leo
Wewe ndo uko sahihi 100%. cocasticKumbe, mi nlisikia walikua wanamgombania tajiri wa chuga papaa king
Na vituo vyake vya mafuta vya TIOTAnaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)
Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!
Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!
Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)
Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Garage yao kuu ilikuwa Tabata TIOT saizi ndio ofisi za Azam Tv. Mafundi wa truck zake walitamba sana enzi zileNa vituo vyake vya mafuta vya TIOT